CCM imefanya maamuzi magumu

28.Kutomfungulia mashitaka rostam baada ya kuifilisi nchi

Mzee wa kiingereza nahisi we ni gamba linaloishi London ndiyo maana huoni hata Kiswahili hujui watu wanaongea lugha ya taifa kila ukichangia ni kiingereza Mwaita au kuna mzungu anaitwa Mwita?

BP kufungiwa miezi 3 kumbe ni wiki 1 tu.

kuua watu wanapoandamana na kutishia watu wanaochagua vyama vingine vya siasa

nchi iko matatizoni wabunge wamagamba wanadai ongezeko la POSHO!

Katika hili la kuhusu ndege naomba niipongeze ccm, maana MKurugenzi wa ATCL by then Mataka alisema kweli ndege hatuna ila mafanikio makubwa aliyoyafanya wakati wa uongozi wake ni KUTENGENEZA NEMBO ya shirika. Kwa serikali legelege haya ni maamuzi makubwa mno jamani wana JF, Tusiibeze serikali yetu legelege

This is not english you fool. sorry for being honest to you fool again.

kumpa likizo ya malipo mkurugenzi wa wanyamapori kupisha uchunguzi wa wanyama pori waliouzwa na kusafirishwa nchi za nje

binafsi nazani wananchi tumefanya maamuzi magumu zaidi ya CCM, ya kukubali kikwete kuendelea kubaki ikulu.
Pima vizuri utagundua ata hayo maamuzi uliyotaja yamefanyika sababu tu ya maamuzi yetu magumu ya kuendelea kuichekea CCM.

Wananchi walifanya maamuzi rahisi ya kutokumchagua JK lakini JK akafanya maamuzi magumu ya kuiba/kuchakachua kura!

28. Nchi haina pesa kwa ajili ya kuandika katiba mpya....!
29. Kumtuma mwanasheria mkuu aandae sheria ya kuzuia maandamano!

We are part of the change, YOU should be part of the change as well, its not about kicking CCM out of power, its about people, getting rid of corruption, unaccountable leaderes, basic necessities, water, electricity, education, health, welfare, infrastructure....Even if your blind or deaf or have unquestionable loyality to CCM, you must and have to support us on this?!
Otherwise we will have to question your judgement!

Wananchi walifanya maamuzi rahisi ya kutokumchagua JK lakini JK akafanya maamuzi magumu ya kuiba/kuchakachua kura!

kweli kabisa kupiga kura yalikua maamuzi mepesi, magumu ni kufanya kama wenzetu wa misri kaka.

Mkuu huyu mtu aliingia madarakani kwa wizi ndo maana yote haya yanamkumba kumbuka mwosha huoshwa na bado atakiona na kujuta kwa wizi wake

....kikwete kuwa raisi wa mwisho kutoka ccm kwa chama kuruhusu madudu yake

30. Kuthubutu kusema uongo kwa mauaji ya Arusha

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…