Ccm imechoka kuongoza nchi.

maganjwa

JF-Expert Member
Sep 11, 2012
2,800
2,337
Angalia yanayoendelea chini ya magufuli kwanza amefuta watanzania kuona bunge lao live,

pili amefuta shughuli za siasa hapa naomba niweke angalizo kwa wale Lumumba kilichoisha ni uchaguzi ila shughuli za siasa iko pale pale kwa mujibu wa sheria,

tatu ameshindwa kuwapa watumishi wa uma stahiki zao kwa mujibu wa sheria, huku akisingizia anashughulikia watumish hewa na ukaguzi wa vyeti,

nne ameshindwa kuajiri wana wa nchi, ni kazi mojawapo ya serikali kuajiri na ameshindwa kufanya ivo.

Bodi ya mikopo imeshindwa kuwapa mkopo kwa wakati na wanafunzi kusumbuliwa na kingine wanafunzi wa diploma serikali tayari inasema imesitisha mafunzo kwa vitendo BTP

Huku mashuleni wakuu wa shule wanatia huruma kwelikweli mana shule hazina hela na shughuli inakiwa iende mpaka wanatumia mishahara yao kwa shughuli za shule

Kwa sasa tanzania ina njaa hilo halina mjadala ila jamaa kafumba macho huku ameweka masikio pamba hataki kusikia hilo hela hana amebaki kutishia watu.

Mahakama ya ufisadi tunasubiri anafungwa nani kama escrow, epa, richmond, iptl, meremeta, lugumi, tangold na wengine wote waliofanya uhalifu huu hawatashughulikiwa anafungwa nani? yetu macho.

Tunaposema ccm imechoka maana yake ndo hiyo kama mtu tumekupa nchi unashindwa kukusanya fedha na kubuni miradi mipya ya maendeleo umekabidhiwa watu million zaidi ya 46 unataka nini kodi nyingi unachukua kutoka kwa watu bado mambo yako hovyo.

Watanzania tujifunze ukoo wa panya hakuna hata moja msafi
 
chama hiki inatuchelewesha sana watanzania kuiendea tanzania yenye neema shida kuwalinda wezi hii ndo tatizo laje kubwa
 
Mkuu angalia wasije kusema huu ni uchochezi.
 
mkuu tunachoka sana tunapoona mambo hayaendi hasa unapojua makosa yanafanywa makusudi na watu hawachukuliwi hatua inauma sana agadhali kusema ukweli mana utakuweka huru kuliko kuwa mnafki
 
nngoja akomae na hiyo ya njaa kama hatatolewa utaona huko kanda ya kati wagogo wamenuna ile mbaya njaa kali sana
 
Back
Top Bottom