CCM-Igunga

ushirikiano wa cdm na cuf ipi? ile iliyomuwekea pingamizi mgombea wa cdm mbeya(shitambala) ? au cuf ambayo mwenyekiti wake alifanya mikutano kigoma na lindi na kuishutumu cdm kuwa maandamano yake yana lengo la kuleta machafuko? na juzi mbunge wake kasema bungeni kuwa cuf haipo katika kambi ya upinzani na cdm, sasa leo cuf ni ya kushirikiana na cdm? kila chama kijijenge na kisimame bila kutegemea msaada kutoka chama kingine

unajua kilichomtoa kule BOT?
Mkuu unataka uthibitishiwe ili iweje? Lema alithibitisha kwamba waziri mkuu kasema uwongo mpaka sasa hakuna jipya..binafsi acha ccm wampeleke yeyote wanaeona anawafaa wao...ila watarajie kuburuzwa na cdm mpaka kieleweke mkuu...

kote umenewa vizuri ila kwa Lipumba ndo umeharibu. Hatuwezi toa CCM A tukaweka CCM B. Haiwezekani.

Unaleta mada then unijibu mwenyewe so una maana gani kama unajua huyo anafaa?
Ndiyo maana hapo kuna neno ""My take", na si lazima my take (nataka kuamini kwamba English si tatizo kwako) iwe sawa na yako na wengine. Ndiyo maana ya jukwaaa hili kubadilishana mawazo kwa hoja

Hawana haja ya kusimamisha mgombea. Wanatuharibia pesa. Wapumzike kwa amani. Amina

UKWELI NI KWAMBA PROF LIPUMBA ANAHITAJIKA HARAKA MJENGONI DODOMA JAMANI TUACHE BLAA BLAA NYINGI ILI TUKAKIWAHISHI MNYAMA HUYU CCM !!

Pamoja na mapungufu mengi ya hapa na pale yanayofahamika kwetu sote kwa wenzetu wa CUF, ukweli ni kwamba tunahitajiana na kukamilisha juhudi ili Walazwahoi tusikawie sana kukombolewa na HILI LIRUBA LIFYONZA damu kwa jina la CCM.

Hakika wananchi tumeachwa hoi bin taabani na serikali ya kifisadi ya Ndugu Kikwete kiasi cha kutia uchungu zaidi kuona bado kunakucha siku zaidi wangali bado wako madarakani!!

Kwa mantiki hii, hata chembe cha mifarakano kati ya vyama vya ushindani nchini ni chukizo kubwa kwa wananchi waona mbali hivyo Dr Slaa na Prof Lipumba hawana budi kuonyesha ukomavu zaidi kwa kutafuta tibu ya ugonjwa kati ya vyama hivi kwa kuonyesha ushirikiano kule Igunga na KUMUINGIZA Pro Lipumba kwenye chaki rasmi pale mjengoni Dodoma haraka iwezekanavyo.

Kama bado kuna mtu Tanzania hii
HAJUTI KUKIFAHAMU CCM basi huyo ni mtoto aliyezaliwa jana tena kwa mama yake kunusurika kufa wodini shauri ya MAFISADI kukomba fedha zote serikalini na kukosekana hata senti ya kununulia dawa mahospitalini.

Shetani ya uadui, chuki na kutokuaminiana kivyama, (Zitto na Mtatiro nao watakua wanaelewa hili) yaweza kuaibishwa KWA MATENDO MEMA yenye kumshangaza hata yule ambaye kamwe asingeweza kutarajia jema lolote kutoka kwako kisha mkafungua mlango mpya wa kuaminiana zaidi, kushirikiana zaidi na kukamilishana zaidi juhudi kama Watanzania wachukia UFISADI wa CCM na Rostam Aziz.

Kumbuka, sote tunalo jukumu la kusamehe 7 mara 70 na kuombeana dua njema. Bado ninayo imani kwamba uongozi wa juu CHADEMA wataona sababu ya kumdhamini Prof Lipumba na Prof Lipumba tu ili akajichukulie rasmi jezi la kuingia bungeni kwenda kupiga zaidi vita
UFISADI kwa kuwaachanisha huru Wana-Igunga ambao Rostam Aziz amewatumia kwa miaka mingi kama chambo na MATEKA wake binafsi.

Hakika CHADEMA kikifanya hivi basi matokeo yake ni kwamba chama kitaimarika maradufu kuliko hata kilivyo kwetu wananchi hivi sasa. Na kuna uwezekano mazungumzo na mikakati zaidi ya pamoja ikawa tayari imeshaanza kusukwa kati ya vyama hivi nje kidogo ya macho yetu.

Nasema sote tuvute subira kidogo katika hili la KUNG'OA KABISA HIKI KIZIKI CHA UFISADI NCHINI, Rostam Aziz, na kuelekeza nguvu hizo hizo kwingineko kote nchini ili kuletea wananchi ahueni ya maisha.

Wakati mwingine the Best Strategy huwa ni kumpigania yule anayeonekana machoni mwa wengi kuwa ni adui yako na hatimaye kujipatia mwenyewe nguvu zaidi. Nadhani katika hili vile vichwa pale CHADEMA kama vile Prof Baregu, Mkumbo, Dr Slaa wote wanalitambua hili.

kote umenewa vizuri ila kwa Lipumba ndo umeharibu. Hatuwezi toa CCM A tukaweka CCM B. Haiwezekani.

Mkuu unataka uthibitishiwe ili iweje? Lema alithibitisha kwamba waziri mkuu kasema uwongo mpaka sasa hakuna jipya..binafsi acha ccm wampeleke yeyote wanaeona anawafaa wao...ila watarajie kuburuzwa na cdm mpaka kieleweke mkuu...

Mkuu Emils,

Mwanzisha thread (Salimia) hakuwa na background ya Mwigulu ndiyo maana alikuwa ana bweka kwa kumpigia upatu akashike mikoba ya kumpigia mgombea wa ccm kampeni. lakini tunamfahamu vizuri yule jamaa ni Fisadi mzuri tu. hata sakata la kwenda kugombea kule Iramba, alitumia weakness ya wapiga kura wa kule akawawezesha kidogo, kuanzia kwenye kura ya maoni alimwaga pesa nyingi sana.

Hi la Chadema kuungana na CUF!? hapa ni bora chadema wagombee na kushindwa kuliko kuungana na watu wasio aminika, mtazamo wangu tu.

Masharobaro na wacheza viduku wataongoza kampeni za CcM Igunga (sijui capt. Awekwe kundi gani kati ya hayo), anaebisha na aseme sasa

Yule mbona dakika mbili huwa ni mheshimiwa anachapa usingizi bila aibu mjengoni Dom-town na kwa dakika mbili nyinginezo utamuona kama mtoto wa shule kwenye kuimba.

Masharobaro na wacheza viduku wataongoza kampeni za CcM Igunga (sijui capt. Awekwe kundi gani kati ya hayo), anaebisha na aseme sasa

Haya mambo ya kukurupuka kujifanya mnawajua watu,, yanakera sana. Nataka nikwambie kwamba pale Iramba kulikuwa na wagombea 10,, huyu Mwigulu ndo peke yake hata gari alikuwa hana, alikuwa chokest anakuja na mabasi na kukodi ka taxi hata A/C hakana,, halafu leo unakaa unawadanganaya watu humu........shame upon you!!

Mkuu usije hata siku moja usije ukamdhamini mwanasiasa on the highlighted!!!! The guy has been in this CCM thing for about 6 months now. Is quite uncommon kwamba atakuwa hana kashfa yeyote!!!!!! Anywayz let's wait and see.

Mnamsema vibaya nape kwa chuki zenu, mnamsema vibaya mwigulu hafai kwa chuki zenu mnamsema vibaya january, hakika nawambie kuna uwezekano mkubwa ni chuki zinawapofosha ama hamna taarifa sahihi za hawa watu. Mungu awapeni maisha marefu hata sio lazima muache kuwachukia ila muwepo na chuki zenu hivyo hivyo then mtaona kuwA kuna vijana wazuri kuliko slaa huyo mnaye msifia. Ni ajabu sana kuona vijana wanawapinga vijana tena vijana makini tu ambao mnao uwezo wa kupata taarifa zao bila hata gharama zao kuliko hata za hao wazee. Kupata taarifa kama za mwigulu sio kazi uliza alikuwaje alipokuwa ilboro (alikuwa kiongozi makini sana na mwanafunzi bora darasani) angalia mazeng high sc alikuwa kiongozi bora wanafunzi wote walimheshimu kuliko wanavyo waheshim pengine mpaka walimu na alikuwa mwanafunzi bora darasan, angalia alipokuwa chuo udsm degree ya kwanza alikuwa kiongozi DUEA nA mwanharakati mabibo hostel wakimwita chief na alikuwa mwanafunzi bora yaani wa kwanza ndio kusomeshwa na BOT degree ya pili,BOT katika muda mfupi akachaguliwa baraza kuu la wafanyakazi na aliheshimiwa sana na aliondoka tokea tawi la arusha wakimliliam sasa angalieni aina ya mtu wa kwanza darasani tangu shule ya msingi na kiongozi bora kwa kuheshimiwa na anaowaongoza sio walimu hadi masters na kazini mtu anasema huyo hivi, pili ndugu zangu aliyewahi kumsikiliza either wakiongea nawe au akihutubia atasema kuwa anakarama sana ya jukwani na hii ilichangia ushindi wake pote watu hutaman asimalize kuhutubia. Ni mtu wakawaida tegeta basihaya hucheza mpira na watu wa kawaida. Ukweli huwa una kawaida moja huwa haulazimishi mtu uukubali ila huwa unajitenga tu na kuonekana. Labda mwnye story tofauti na hii na aseme hakuwa wa kwanza primary, sekondary , degree ya kwanza na ya pili na hakuwa kiongozi anayevutia hisia ngazi hizi ajitokeze aseme. Tutangangania wazee slaa slaa na kupuza vijana wetu kifo huwa hakichagui lakini mambo yakiwa constant wazee watangulia istoshe slaa ana kansa ya mkojo kwa nini hatuwatathimini sahihi vijana kwa ajili ya taifa letu. Fuatilieni mtakuja kuniambia.

Hivi sasa hata nape ametukosea nini binasfi na kama taifa na kama vijana? Wewe unayesoma hii thread jiulize nape amekukosea nini? Chuki hiyo inalingana na kosa hilo kama lipo? Amelisababishia taifa hasara gani mpaka umchukie na je amewanyima vijana fursa gani au tunmchukia kwa niaba ya mtu? Au tumetumwa kumchukia? Something is wrong with us my friends. Success without successors is the greatest faluire. Ask yourself

• Mkuu ulikuwa umelala ukaamka ghafla????? Kama hizo ulizotaja ndiyo sifa za kiongozi basi tungeshakuwa kama Singapore siku nyingi unless huwajui viongozi wa taifa lako na backgrounds zao!

Nyambala umekesha bar au danguro? Hujaelewa kabisa maana ya hiyo background, imetokana na mmoja ya thread kwa huyu jamaa huwa ni wa hovyo na kuwa ushindi wake ulitokana na pesa kura za maoni. Ndio maana ya background yake, kuhusu kucheza maana yake ni kuwa socialization yake ilichangia ushindi. It is a shame nyambala kuchoka asbh namna hii au hojanawa tongotondo au danguro

Mitihani yako ulifaulu kwa kujibu maswali ulitunga mwenye nini nyambala mbona umejibu kitu kingine? Nilipoona new post niliikimbilia nikidhani umemjibu jamaa kwa kutoa cv ya tofaut kumbe blaablaa ndio na nape mnamchukia hivihivi ukiulizwa hasa kwa nini unamchukia sababu hamna.kweli serkali ifunge madanguro inawezekana nyambara hata kazini unakwenda na hangover hizo. Au wewe ni mke wa slaa imekuudhi kusikia hawa vijana inawezekana ni bora kuliko mmeo?

Bwanamdogo be careful, mimi si saizi yako na kama uko obsessed na huyu jamaa yako kanywe nae chai au kampe nanihii! Hapa tunaongea hoja simfahamu huyu jamaa na wala sina haja ya kumfahamu. Sina beef naye ya aina yeyote na his path and mine will never cross.Ila naichukia CCM mpaka basi!!!!

Kwa staili yenu wabongo utasikia ooh mnamuonea wivu, but for a fact I am far much better off with what I am doing kuliko hizo siasa zenu uchwara. Hivyo soma hoja usikimbilie personalities na hiyo unayoita asubuhi wenzio sasa tupo saa nane mchana!!!!!!

Unapoteza muda wako bure kupata kigugumizi kwenye hilo, niseme tu Wana Igunga wangekuwa wanahitaji viongozi wasafi wasingekubali kuongozwa na Rostam kwa miaka 18 na kisha kumlilia alipojiuzulu...

There you are! Unatoa biased assessment kwa kuwa unaichukia CCM mpaka basi my concern was on the fact kuhusu hawa vijana. Respect calls for respect, when we take step to write in this we need to be informed a bit of the cv's of the people. I hope zamwamwa had a point and looks aware of the person he(s) was describing.some of us we use JF as a reliable source of information thus if we allow distortions we will be misslead sometime on important issues. Bravo vijana wenzetu, asante zamwamwa kwa details

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…