Nani anafaa kuongoza kampeni za CCM Igunga kati ya January Makamba na Mwigulu Nchemba?
My take: January ni mtu makii na smart lakini ana damu ya kunguni ya kuchukiwa tu bila sababu za msingi hivyo si sahihi kwa chama kumpeleka Igunga. Mwigulu ni very smart na machachari na hana kashfa yoyote, anaweza kukisadia sana chama chake huko Igunga.
acha fitna wewe! ukiambiwa uthibitishe hayo ya wizi utaweza? huyo kijana Mwigulu ndiye atabeba mikoba yote ya Igunga..........mtaniambiasasa huyo si ndiyo yule mwizi wa pesa za BOT? Hapo hakuna wa kwenda kule zaidi ya yule jamaa anayecheka cheka, muda wote kukenua meno huku wananchi wake wamechanganyikiwa. yeye kucheka saa zote.
CCM watarajie kuwa chama cha upinzani Igunga
acha fitna wewe! ukiambiwa uthibitishe hayo ya wizi utaweza? huyo kijana Mwigulu ndiye atabeba mikoba yote ya Igunga..........mtaniambia
Jamaa inasemekana kuwa ni ***** pale BoT so hafaiacha fitna wewe! ukiambiwa uthibitishe hayo ya wizi utaweza? huyo kijana Mwigulu ndiye atabeba mikoba yote ya Igunga..........mtaniambia
sasa huyo si ndiyo yule mwizi wa pesa za BOT? Hapo hakuna wa kwenda kule zaidi ya yule jamaa anayecheka cheka, muda wote kukenua meno huku wananchi wake wamechanganyikiwa. yeye kucheka saa zote.
CCM watarajie kuwa chama cha upinzani Igunga
natoa shauri vyama vyote vya upinzani viungane na kupitisha mgombea mmoja tu na kisha nguvu yote itumike kuiadabisha CCM.Iwapo mpinzani atapita itawasumbua sana CCM kisaikolojia na hvyo upinzani kuendelea kupata ujasiri.come on wapinzani,onesheni kuwa umoja ni nguvu angalau mara hii tu.tofauti zenu mtazisort out baadae.nataman uchaguzi uwe kesho na ccm ibwagwe chini.aarrh!
<br />Nani anafaa kuongoza kampeni za CCM Igunga kati ya January Makamba na Mwigulu Nchemba?<br />
My take: January ni mtu makii na smart lakini ana damu ya kunguni ya kuchukiwa tu bila sababu za msingi hivyo si sahihi kwa chama kumpeleka Igunga. Mwigulu ni very smart na machachari na hana kashfa yoyote, anaweza kukisadia sana chama chake huko Igunga.
Lipumba hagombei igunga, mgombea ni yule yule aliyepambana na Rostam, mh Leopard Mahana mbunge mtarajiwa wa igunga. tunavyo ongea hivi sasa yupo igunga na timu nzima ya cuf.
mpelekeni Nape na wasanii wa bongo fleva