CCM Igunga chali kwa mara nyingine tena

CCM Igunga chali kwa mara nyingine tena

Hoho

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2012
Posts
320
Reaction score
83
CCM Igunga imekuwa na kitendawili kigumu sana ambapo haijulikani ni nani ataweza kukiteguwa, ni baadaya jana mkutano wa hadhara kuwapa jibu ni kiyasigani wanapendeka kwa wapigakura wake, walipogoma kujitokeza kusikiliza hotuba yao na atimaye kuhutubiya watu wachache kulinganisha na miyaka yote tulivyoizoeya kama chama chenye madaraka, chakusikitisha ni pale walipo wa tangaziya wanachi kuwa mgeni rasmi atakuwa M/kiti wa (UWT) ccm na Waziri wa Jamii,jinsia na Watoto, Sophia Simba.

Jana hakuweza kuji tokeza akiogopa aibu iliojitoza hapo uwanjani, Ushauri wangu kwao wasisumbuke kugawa kanga na tisheti tena badala yake hizo fedha wawachimbie visima vyamaji wapigakurawa wake.

CCM kwisha kwisha kwishakabisa Igunga anayebisha aje ajionee mwenyewe.
 
Jana walikuwa wanafanya mkutano soko kuu Arusha, wakabaki wanahutubia kijiwe cha kahawa
 
wakiadabishana kama CDM nachukua kadi mapema maana mafisadi ndio wanakiua chama
 
kweli kaka, jana nilipotoka kazini nilipitia hapo soko kuu Arusha, nikawakuta UVCCM na umbea wao na wanyawaji wa kahawa, huyu bwana mdogo uvccm wao, nilimuachaga makumira 2002 akiwa f4, kwa aibu anakubali kutumika na lowassa na kama messenger, hakuwa na sera yeyote zaidi ya kusemea masalia waliofukuzwa, SHAME UPON THEM SASA TUJENGE CHAMA MAANA MASALIA WAMEONDOKA, CCM IMEKULA KWENU MAANA MAGENTS WENU TUMEWA MWAGA.CHEZEA NGUVU YA UMMA.
Jana walikuwa wanafanya mkutano soko kuu Arusha, wakabaki wanahutubia kijiwe cha kahawa
 
Baaada wajenge chama chao wapo bize na habari za cdm kumbe hawajui wenzao ndo wanajenga taasisi imara
 
Hata hivyo nashangaa kusikia bado wapo! Kubaka wao, rushwa wao, mauaji ya tembo wao, wizi wa madini wao, uongozi dhaifu wao, wauza ubga wao, mauaji ya kisiasa wao......a very long list of evils...hawa watu ni wanamna gani? Mungu tusaidie.
 
Huku kyela maccm yanaishi kama makimbizi hayapo kabisa habari ya huku ni chadema tu chama dume chenye maamuzi magumu
 
nawapongeza sana wananchi waliojitambua na kuacha kushabikia maccm hongereni sana
 
Saaafi sana wana wa igunga.
Kwigwa kwa mnamburu..........
 
Wazee wa NCHI ISITAWALIKE MPO , sasa mmeanza kwenu kusitawalike sio
 
waende huko pwani mtwara na lindi ndo wanapenda pilau na pombe za kienyeji wanazowapa......SASA WATZ HAWADANGANYIKI.
 
Wapo Busy Kuijenga Chadema Mkuu....... Mchumia janga?..............?:A S-confused1:
 
chagas at work,acheni uhuni na lichama lenu la ovyo,mnajitahidi sana humu jf kubwekabweka, kwisha habari yenu

Mr Cortex, ule msemo huwezi kula hadi uliwe kidogo una maana gani ? Vp umemaliza na majimarefu?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom