umetoa mawazo mazuri sana lakini kama chama kinamtoa MAKAMBA kuwa katibu mkuu anaingia Mkama usitegemee chochote, mtu anaesema chadema ilipeleka magaidi afganistan na libya mwaka 1990 wakati hata chadema ilikua haijaanzishwa kipindi hicho unategemea nini kutoka kwake. kama Nape ndie katibu wa itikadi na uenezi badala ya kueneza chama anaeneza ujinga usitegemee chochote kwenye chama hicho.CCM wanafikiri bado watanzania ni wajinga sana wanahisi wanaweza kuendelea kuwambia watanzania kwamba ukichagua upinzani utaleta vita na watanzania wakawaelewa.