Malata Junior
JF-Expert Member
- Nov 29, 2011
- 3,104
- 2,549
Kama inavyotarajiwa na watanzania wengi na hata dunia mzima vyama vya upinzani kupitia UKAWA vitashinda uchaguzi MKUU wa rais na wabunge mwaka 2020 na kupelekea ccm kuwa chama kikuu cha upinzani.
Hata hivyo ccm inakabiliwa na hatari ya kupoteza nafasi hiyo kwa chama cha ACT ambacho kimejipanga kuanzisha umoja na vyama vingine vya upinzani ikiwemo Chauma,UDP,DP,SAU,CCK na UMD.
Sababu za ccm kupoteza fursa hiyo ni
1.Kutumia fedha za umma kutekeleza miradi ambayo haiwanufaishi wananchi moja kwa moja kama vile kununua ndege ambazo ni watanzania wasiozidi 10,000 tu hupanda ndege.
2.Ubaguzi katika zoezi la kuhakiki vyeti ambapo wanyonge wamefukuzwa kazi huku akina bashite wakilindwa
3.Kuzinyang'anya Halmashauri mapato na kuzinyima ruzuku hivyo miradi yote ya maendeleo ya halmashauri imekwama.
3.Kula rambirambi za tetemeko kagera
4.kusababisha hali ngumu ya kiuchumi nk.
Hali hiyo itasababisha kufa kwa chama hicho kikongwe ambacho kinasifika kwa ufisadi na kuwasababishia mateso makubwa watanzania.