CCM heshimuni wazee, waacheni wapumzike

mzee slaa mwenye laana na mzee lwaitama mpiga vizinga wao wachape kazi ya siasa tu au unaonaj BAZECHA ifutwe tu gentleman ?🐒
 
This is not fair at all.
 

Attachments

  • FB_IMG_1747646513450.jpg
    46.5 KB · Views: 8
Mwanaume mzee anaweza hata kujikojolea jukwaani. Shauri yao bana

Ana foley catheter ndio uzuri! Mzee kama huyu sphincters zote zilishalegea, ni science tu wandugu uvisisiemu msione nadhalilisha wazee!
 
Paragraph ya kwanza umeandika point kubwa mno.

Sikutegemea kama ningeweza kupata madini kama haya kirahisi hivyo mkuu.

Ubarikiwe sana
 
Wale wako Baraza la wazee sio watendaji wakuu. Hata Mzee Wasira kuwepo kwenye Baraza la wazee ni sawa tu pamoja na wenzake akina malecela, Msekwa, Kinana, Makamba na wenzake. Hata Mzee Kinana nadhani ndicho kilichomfanya ang'atuke.
 
Anabeba Zege?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…