Sisiemu kwenye masuala ya haki za binadamu hawapo. Wamempa Wasira kazi ambayo haiwezi na anaifanya hiyo kazi labda kwa sababu hakuwa amejipanga kimaisha. Kumpa Mzee wa umri mkubwa kiasi kile ni kumdhalilisha na kutokumtendea hakiUzee ni muda wa kutubia, kuungama na kutumia kile ulichochuma wakati wa ujana wako. Sio muda wa kutafuta dhambi na maadui wapya bali kutafuta watu wengi zaidi wataokuzika siku ukifa.
Kazi mliyompa Mzee Wasira ya uwenyekiti wa CCM bara ni kazi nzito sana kwa Mzee kama Wasira aliyelitumikia taifa tangu awamu ya kwanza. Hivi ni kweli CCM haikutengeneza vijana wengine kama Wasira? Na je, Mzee Wasira haikutengeneza vijana wengine kama yeye?
Mzee Wasira atapunzika lini? Atafurahia kucheza na wajukuu na vitukuu vyake lini?
Kwa umri wake alipaswa kuhudumu kama Mzee wa kanisa sio mwenyekiti wa CCM. Succession plan haikufanyika vizuri CCM, au CCM wenye maarifa wameisha au wanaoaminika wamepumgua sana.
Kwa umri wake ule lazima afya yake Ina kasoro. Umri ule ni WA watu ambao wanahitaji kukaa karibu na washroom (toilet) kwakuwa wanahitaji kukojoa mara kwa mara, uwezo wao wa kuzuia mkojo unapungua, wanachoka haraka na wana degenerative na metabolic disorders nyingi sana. Huwezi kumtembeza na kumsimamisha kwa muda mrefu, utamuua haraka.Sisiemu kwenye masuala ya haki za binadamu hawapo. Wamempa Wasira kazi ambayo haiwezi na anaifanya hiyo kazi labda kwa sababu hakuwa amejipanga kimaisha. Kumpa Mzee wa umri mkubwa kiasi kile ni kumdhalilisha na kutokumtendea haki
Kuhutubia jukwaani huku umebanwa na mkojo sio lelemama. Kwenu hujakaa na wazee wa umri ule? Aliyependekeza jina la Mzee kwenye nafasi ile amefanya hivyo kwa maslahi yake binafsi, sio chama na taifa.Ndo kazi aliitiwa..wacha afie kazini kama papa Fransis
Ccm ina vijana?Kuhutubia jukwaani huku umebanwa na mkojo sio lelemama. Kwenu hujakaa na wazee wa umri ule? Aliyependekeza jina la Mzee kwenye nafasi ile amefanya hivyo kwa maslahi yake binafsi, sio chama na taifa.
Wana mtumia ili watu wasio na uelewa mzuri, waone hii CCM bado ya NyerereUzee ni muda wa kutubia, kuungama na kutumia kile ulichochuma wakati wa ujana wako. Sio muda wa kutafuta dhambi na maadui wapya bali kutafuta watu wengi zaidi wataokuzika siku ukifa.
Kazi mliyompa Mzee Wasira ya uwenyekiti wa CCM bara ni kazi nzito sana kwa Mzee kama Wasira aliyelitumikia taifa tangu awamu ya kwanza. Hivi ni kweli CCM haikutengeneza vijana wengine kama Wasira? Na je, Mzee Wasira haikutengeneza vijana wengine kama yeye?
Mzee Wasira atapumzika lini? Atafurahia kucheza na wajukuu na vitukuu vyake lini?
Kwa umri wake alipaswa kuhudumu kama Mzee wa kanisa sio mwenyekiti wa CCM. Succession plan haikufanyika vizuri CCM, au CCM wenye maarifa wameisha au wanaoaminika wamepumgua sana.
HahahahaWho cares, sisiemu hupati kitu bila mchongo so alitaka mwenyewe akatembeza deal likafika kwa mama akasomeshwa na wadau then akampa fupa afe nalo, sasa limekwama kooni π π π
Mwanaume mzee anaweza hata kujikojolea jukwaani. Shauri yao banaUzee ni muda wa kutubia, kuungama na kutumia kile ulichochuma wakati wa ujana wako. Sio muda wa kutafuta dhambi na maadui wapya bali kutafuta watu wengi zaidi wataokuzika siku ukifa.
Kazi mliyompa Mzee Wasira ya uwenyekiti wa CCM bara ni kazi nzito sana kwa Mzee kama Wasira aliyelitumikia taifa tangu awamu ya kwanza. Hivi ni kweli CCM haikutengeneza vijana wengine kama Wasira? Na je, Mzee Wasira haikutengeneza vijana wengine kama yeye?
Mzee Wasira atapumzika lini? Atafurahia kucheza na wajukuu na vitukuu vyake lini?
Kwa umri wake alipaswa kuhudumu kama Mzee wa kanisa sio mwenyekiti wa CCM. Succession plan haikufanyika vizuri CCM, au CCM wenye maarifa wameisha au wanaoaminika wamepumgua sana.
Marehemu wasiraUzee ni muda wa kutubia, kuungama na kutumia kile ulichochuma wakati wa ujana wako. Sio muda wa kutafuta dhambi na maadui wapya bali kutafuta watu wengi zaidi wataokuzika siku ukifa.
Kazi mliyompa Mzee Wasira ya uwenyekiti wa CCM bara ni kazi nzito sana kwa Mzee kama Wasira aliyelitumikia taifa tangu awamu ya kwanza. Hivi ni kweli CCM haikutengeneza vijana wengine kama Wasira? Na je, Mzee Wasira haikutengeneza vijana wengine kama yeye?
Mzee Wasira atapumzika lini? Atafurahia kucheza na wajukuu na vitukuu vyake lini?
Kwa umri wake alipaswa kuhudumu kama Mzee wa kanisa sio mwenyekiti wa CCM. Succession plan haikufanyika vizuri CCM, au CCM wenye maarifa wameisha au wanaoaminika wamepumgua sana.
Kaka hizo zinaweza kuwa punzi za mwisho za CCM kama Kuna watu wanafikiria Mzee bado ni bora kuliko vijana wa umri wa akina makonda, polepole na wengine. Sio dalili njema. Huyu Mzee Kuna watu wanamwita Tyson, labda hiyo ndiyo sifa inayowafanya wamuone anafaa. Utyson maana yake roho mbaya, kung'ata opponent, kupiga, au kuonea wengine bila huruma. Kwa umri wake haifai kuwa na sifa kama hizo za Tyson.Wana mtumia ili watu wasio na uelewa mzuri, waone hii CCM bado ya Nyerere
Ndio maana wazee wengi wananuka mikojo, ni kwasababu hiyo, muscle zimelegea na milango (sphincters) ya kibofu na mingine imelegea kumudu kujizuia. Umri huu wengi wana kisukari na shinikizo kubwa la damu, hivyo moyo na mafigo haviwi imara tena kama zamani zake.Mwanaume mzee anaweza hata kujikojolea jukwaani. Shauri yao bana
ππWho cares, sisiemu hupati kitu bila mchongo so alitaka mwenyewe akatembeza deal likafika kwa mama akasomeshwa na wadau then akampa fupa afe nalo, sasa limekwama kooni π π π