CCM hawasemi tu lakini wanapumulia mashine


Kwahiyo mkiiba kura msiambiwe?
 
Tunajua cha kufanya lazima watoke
 
hamna kitu kama iko kwan ccm kitachukua ushindi mapema sana...upinzani wenyewe washaanza kuvulugana makamanda wanaondoka...ni waroho wa madaraka... ccm kina nafasi nzuri ...vote ccm

Mkuu usiseme hivo ndg yangu. Kunakitu kimenistua sana. Wana CCM wenzetu wengi tu, wanamfanyia kampeni Lowasa mchana mchana. Wamevaa kabisa nguo zetu lakini anakunong'oneza pembeni kwamba chakula pata toka CCM, ila kura kwa Mh. Lowasa. Nimeshagongana nawatu wa aina hii sichini ya15. Hii inaonyesha kunamkakati mzito wakukihujumu chama kupitia sisi kwa sisi. Tena unaonekana mkakati huu unamtandao mkubwa kutoka ngazi zajuu. Kukumbatia watu kama kina Nape umesababisha mpasuko mkubwa ndani ya chama. Kama hatua hazitachukuliwa haraka iwezekanavo tutaanguka kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…