CCM HAWAPENDI DEMOKRASIA

VIVIANET

JF-Expert Member
Aug 30, 2015
2,129
2,918
KUNA WATU WANAOPENDA KUBISHIA KILA JAMBO HATA KAMA LINAONEKANA WAZI

CCM WAMEDHIHIRISHA WAZI KWAMBA HAWAPENDI DEMAKRASIA...MIFANO MICHACHE

YAWEZA KUKUONYESHA WAZI JINSI CCM ISIVYOPENDA DEMOKRASIA.

MFANO MZURI NI ZANZIBAR CCM WAMESHINDWA KWENYE SANDUKU LA KURA ILA HAWATAKI

KUKUBALIANA NA USHINDI ULIOWAZI AMBAO HATA OBSERVES WOTE WAMEUKUBALI

SABABU ZINAZOTOLEWA HAZINA HATA MSINGI.MAANA UCHUGUZI HUO HUO UMEKUWA

HALALI KWA RAIS WA JAMUHURI, KWA BARAZA LA WAWAKILISHI KWA MASHEHA,NA

WABUNGE ILA HARAMU KWA RAIS WA ZANZIBAR.AJABU SANA

KILA MAHALI AMBAPO WANA MADIWANI WACHACHE WANATAKA KULAZIMISHA WAWE NA MEYA CCM HAWEPENDI DEMOKRASIA
 
Sisi ndio tumepigania UHURU wa Nchi mpaka unajamba kudai Demokrasia kama kweli unaijua. Hatuwezi kukubali amani, umoja,utulivu na mshikamano vipotee kwa kisingizio cha Demokrasia. Ndio maana hatutakabidhi Nchi kwa WAHUNI kamwe!
 
wahuni ni nani hasa kati ya walionyang'anya na walionyang'anywa ushindi wao ? Kwa nini mnaingiza watu kwenye chaguzi basi ? si muendelee tu kutawala kuliko kupoteza mabilioni ya hela isiokuwepo na kutupotezea muda ? Haitoshi kupigania uhuru tu ... kuna kuusimamia uhuru... sasa nyinyi mnasimamia uhuru au mnasimamia ukoloni tena wa mabavu wa mtu mweusi ?
 
Nani kanyang'anywa ushindi wewe lofa? ingekuwa hivyo Wapinzani wasingeambulia hata kiti kimoja!
 
Na ndio maana walikuwa tayari hata kumwaga damu ili wapinzani wasichukue nchi..Nchi haina huduma za uhakika za maji,umeme,afya,kilimo na elimu then unaenda nunua magari ya polisi 700!!?
 
Tanzania haakuna chama chochote kinachoipenda Demekeasia wote tunajibaraguza tu hamna cha maana
 
KUNA WATU WANAOPENDA KUBISHIA KILA JAMBO HATA KAMA LINAONEKANA WAZI

CCM WAMEDHIHIRISHA WAZI KWAMBA HAWAPENDI DEMAKRASIA...MIFANO MICHACHE

YAWEZA KUKUONYESHA WAZI JINSI CCM ISIVYOPENDA DEMOKRASIA.

MFANO MZURI NI ZANZIBAR CCM WAMESHINDWA KWENYE SANDUKU LA KURA ILA HAWATAKI

KUKUBALIANA NA USHINDI ULIOWAZI AMBAO HATA OBSERVES WOTE WAMEUKUBALI

SABABU ZINAZOTOLEWA HAZINA HATA MSINGI.MAANA UCHUGUZI HUO HUO UMEKUWA

HALALI KWA RAIS WA JAMUHURI, KWA BARAZA LA WAWAKILISHI KWA MASHEHA,NA

WABUNGE ILA HARAMU KWA RAIS WA ZANZIBAR.AJABU SANA

KILA MAHALI AMBAPO WANA MADIWANI WACHACHE WANATAKA KULAZIMISHA WAWE NA MEYA CCM HAWEPENDI DEMOKRASIA
Kulalamika ndo fani yenu
 
Kweli kabisa hakuna demokrasia mikutamo ya kisiasa imekatazwa lakini Manji amefanya juzi Mbagala kumshukuru wananchi wake
 
Nani kanyang'anywa ushindi wewe lofa? ingekuwa hivyo Wapinzani wasingeambulia hata kiti kimoja!

My brother George you have a very serious problem in your mind may be the education you got was not enough to observe things
you are commenting as the person who didn't go to school. it would be better to keep quiet instead of bringing up some nonsense comments.
kwani nchi ilipokuwa inapigania uhuru walikuwa ccm peke yao? think before you write your comments
 
Back
Top Bottom