CCM wanapenda sana kutuchezea akili! Inatengeneza yenyewe tatizo, halafu baadae inakuja kulalamika tena.
Wamefanya hivyo kwenye mikataba ya madini, ubinafsishaji, uuzaji wa nyumba za serikali, kikokotoo na sasa kwenye hizi riba kubwa wanazo tozwa wanufaika wa Bodi ya Mikopo.