CCM hawakamatiki wala Hawashikiki

Sipendagi kutoa kauli kali,lakini naomba kwa thread hii nitoe!mleta hoja umeleta hoja ya k****a sana,kwanza ni uongo na stupidity kwa mtanzania anaefuatilia siasa alafu ajifanye hana chama chochote,hizo ni hoja za wana magamba,kwa kua wengi wao wamefirisika vichwani,wamebaki kukumbati ujinga,huku wakijijua kua wanakumbatia ujinga ndio maana wanaogopa kujipambanua kwa kua wanajua wanaonekana ni wa***ga,mwalimu nyerere alishawahi sema hakuna risasi zitakazo wananchi pindi watakapo amua,na hayo mambo tumeyaona nchi kadhaha duniani,wale waliokua wanaogopewa kama Miungu wa dunia kwenye nchi zao,wameondoka kwa nguvu ya umma!wewe baki ukikumbatia uj..ng,a wako,kwa kua haujielewa
 
Ni afadhali gunia la chawa kuliko mwendawazimu na punguani kama huyu
 

Umenena wewe cjui kwnn watu wengine wanakuwa against ccm wanaishabikia CDM chama cha wanywa viroba na kula ndumu kila kukichwa maandamano na mikutano isiyo na tija wakivaa magwanda yao kama wamepuuu!b
 
akili za matakoni.

kwa taarifa yako ccm ya sasa sisi tunaiona kama nyumba ndogo....ukisikia ham unaenda kumega, unasepa. tena gesti bubu.
hebu tafakari ulichokiandika halafu ulinganishe na ulivyo wewe, kama ni mtu familia unastahili kuitwa baba au mama? kama ni Mzazi mtarajiwa unastahili kupewa heshima ? kama ni kijana nini cha kujifunza toka kwako? Mods ni akounti gani huwa mnazi-bann? kam siyo kama hii?
 

Sawa Sonara na propaganda zako za alinacha.
 
Zero brain!
 
Umenena wewe cjui kwnn watu wengine wanakuwa against ccm wanaishabikia CDM chama cha wanywa viroba na kula ndumu kila kukichwa maandamano na mikutano isiyo na tija wakivaa magwanda yao kama wamepuuu!b

Kubali CDM ni chama cha maandamano na mikutano na wewe kukubali CCM ni chama cha mafisadi.
 

Umekurupuka mkuu jipange kwani hueleweki
 
Aliyemtuma kampoteza njia amshauri aje kivingine
 

Mkuu, pole sana.
Uko timamu kweli m-kichwa?
 
Ww sonara ni maandaz kwel yaan ukiwa gamba kweli akil inakuwa kama ya kondoo
 
Huyu **** asirudie kuandika umatako wakeeeeeee.. Ccm ni ****** tu.. Ni sawa na kwenda magotii kuchukua kahabaaa! Nakwaambia sasa wameshika mapumbu ya ba'mkwe........nape na wenzako mtafia dar na kuzikwa pemba
 

-Umesoma thread.
-Umeielewa na kutofautiana kimtazamo na mtoa mada!
-Badala ya kuelezea jinsi jamaa alivyo NYAMBAF ili wengne wakisoma wasirudie UNYAMBAFU Huo ukatukana kimoyo moyo kwa kuogopa Ban,alafu ukachagua tusi jepesi ukaliandika!!!
JF,home of great thinkers!
 

Mshamba mkubwa wewe....unasema si mpenzi wa chama chochote wakati GAMBA LAKO linaonekana wazi kabisa......CCM mkubwa wewe....miaka hii mitatu iliyobaki ya utawala wa ccm mtakiona cha mtema kuni....hadi mkimbie nchi...
 
Dah mserereko wa matusi unadhihirisha maamuzi ya watz kuwanyima nchi yalivyo halali.huwezi kuwapa ikulu watu wa namna hii.hapawafai labda milembe.
 
jidanganye hvo hvo we kibarua wa magamba, eti ccm hawashikiki, watu wanatembea kama wanamabusha saiz huko magogoni, na wewe tunakushughulikia huku kwny forum. SHAME ON U USELESS MIND
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…