Nchi hii wakati inatawaliwa na mkoloni mweupe watu walichapwa bakora ili wafanye kazi, lakini afadhali walikua wakipigwa na mtu wanayemuona na kujua kabisa kwamba huyu ndiye adui.
CCM tangu Uhuru wa nchi hii wao wamejipa hati miliki ya nchi na Mali zake zote wakiwemo watu, hawakotayari kusikia watu wengine wakipata nafasi ya kuongoza nchi na matokea yake kila anayejaribu kufungua kinywa wanatafuta mbinu za kumnyamazisha.
Kule Arusha watu walikufa eti wamefanya maandamano ya vurugu! Mbigu inajua na dunia inajua kwamba, maandamano yale yalikua ya amani hadi pale polisi walipopiga mabomu bila sababu na kuvuruga watu.
Watu wamekufa vifo vya kuhuzunisha na kuumiza moyo kwasababu ya CCM! alafu wakisha fanya mauaji wanarushia mpira wapinzani, hivi niulize, niwapinzani waliomuua kikatili, Mwangosi na Alfonce? Hayo mtasema hapana kwasababu mmeshuhudia kwa macho.
CCM wanafanya mchezo Wa kitoto sana, ni kama mtu anakuvizia ukiwa karibu na mtu mwingine alafu yeye anakupiga rungu la kichwa kutokea nyuma ya jirani, ukigeuka amejificha unamuona jirani alafu aliyekupiga rungu anaibuka na kukuambia huyo ndo kakupida rungu! Ah, inaumiza, alafu hujui ukweli inabidi umuwajibishe jiran.
CCM wamepiga watu sana marungu nyuma ya mikutano na mihadhaa ya Chadema lakini nasema, Mungu amewaona na saa msiyoitegemea mtavuna mlichopanda.
Mmewadanya watanzania ambao wengi kwa makusudi mliwanyima elimu ili muwatawale lakini sasa, Mungu anawapa elimu yake mwenyewe. Bomu mlilolitengeneza wenyewe very soon linalipuka. Hata sasa mnawahadaa na elimu bure isiyo na ubora wowote ili waendelee kuwa vilaza muendelee kuwatawala, amini nawaambia, nyakati zimefika za kila mtu kuamka usingizini msomi na asiye msomi.
Anguko lenu litakuja gafla ili mjue kwamba, anayepaswa kuabudiwa ni Mungu peke yake. Ongezeni usanii, ongezeni unafiki, ongezeni fitina, ongezeni majivuno, ongezeni dhuluma, ongezeni vitisho na ongezeni ubabe ila "anguko lenu linakuja gafla na pembe zenu kama za faru zitakatwa".
Kila Mwenye macho naatazame