kwamtoro
JF-Expert Member
- Nov 15, 2010
- 4,922
- 3,244
Ili ushinde, lazima ukubalike,
CCM hawakubaliki pamoja na kuwa wametumia pesa nyingi sana kulazimisha kukubalika. Mfano ni wa kukodi wasanii, kugawa bure matshert na kofia
Vijana % kubwa hawaitaki,
Ukweli vijana ndio wapiga kura wengi, ndio wanaoitaji mabadiliko
Wamama wengi wataichagua CCM,
Pamoja na hilo, mabadiliko kwa kiasi fulani yamebomoa ngome ya wamama watakao ichagua ccm.
Watu wa makomo wanaume,
wengi watachagua mabadiko
Wazee,
Kutakuwa na kura za mgawanyiko. Nusu mabadiliko, nusu ccm
CCM imebakiza mtaji wake mkubwa kwa wamama na sehemu nyingine kwa uchache
Kiujumla na kihalali, lazima Chadema ishinde