juvenile davis
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 4,752
- 4,475
wataachia tu kama wanajipenda ,tume ya uchaguzi itende haki tuLeo nikiwa nimetulia,anakuja jamaa mmoja ambae tunafahamiana,,sijajua itikadi yake(yaani sijui chama chake),,ila maongezi yake mara nyingi ni kama yupo mwanaccm,,leo ananiuliza namna hii
JAMAA:ndugu yangu Lowasa atashindaaa?
MIMI:tukimpigia kura kwa wingi atashinda,kwa nini asishinde tukimchagua??
JAMAA:aaahh,ccm hawatakubali,(nikawa kimya)
JAMAA:ccm hawatakubali kuachia madaraka(kwa mara ya pili kaongea kauri hiyo).
Sasa nikashindwa kumuelewa kwa kweli,ikabidi nishindwe cha kumjibu zaidi nikampuuzia tu,maana sielewi aliniuliza akitaka nimpe majibu gani??
kama noma na iwe noma, waachie madarakaNdio wataipeleka hii nchi pabaya
kama noma na iwe noma, waachie madaraka
Nan afe kwaajili ya mamvii..wana mabdiliko tutawaenzi kwa kuwawekea sikukuu ila zaidi ya hapo.aje lowassa aje magufuli maisha hayabdiliki kichwa chako Ndo nyenzo ya kujibadilisha
Leo nikiwa nimetulia,anakuja jamaa mmoja ambae tunafahamiana,,sijajua itikadi yake(yaani sijui chama chake),,ila maongezi yake mara nyingi ni kama yupo mwanaccm,,leo ananiuliza namna hii
JAMAA:ndugu yangu Lowasa atashindaaa?
MIMI:tukimpigia kura kwa wingi atashinda,kwa nini asishinde tukimchagua??
JAMAA:aaahh,ccm hawatakubali,(nikawa kimya)
JAMAA:ccm hawatakubali kuachia madaraka(kwa mara ya pili kaongea kauri hiyo).
Sasa nikashindwa kumuelewa kwa kweli,ikabidi nishindwe cha kumjibu zaidi nikampuuzia tu,maana sielewi aliniuliza akitaka nimpe majibu gani??
wataachia tu kama wanajipenda ,tume ya uchaguzi itende haki tu
Nan afe kwaajili ya mamvii..wana mabdiliko tutawaenzi kwa kuwawekea sikukuu ila zaidi ya hapo.aje lowassa aje magufuli maisha hayabdiliki kichwa chako Ndo nyenzo ya kujibadilisha