CCM Haitaki Kura za Wanywa Viroba

CCM Haitaki Kura za Wanywa Viroba

DALLAI LAMA

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2012
Posts
8,652
Reaction score
2,642
Wanaukumbi

Katika mazungumzo yake na media Katibu wa Halmashauri Kuu Itikadi na Uenezi Nape Nnauye amesikika akisema kuwa mikutano mingi ya UKAWA imejaa wanywa viroba,walevi na wavuta bangi.

Hili ni tusi kwetu vijana kwani tuliojiandikisha wengi ni watumiaji wa vilevi hivyo ili kukabiliana na mawazo ya ugumu wa maisha.

Hatukutegemea kuwa Ccm haitaki kura zetu vijana kwani hali mbaya ya kiuchumi inachangia kukosa hata suruali ya kubadilisha,hatua ya kuonekana kila mchafu kutokana na kazi za toyo,kuchimba mitaro na makondakta,wapiga debe basi wote ni wanywa viroba.

Vijana wengi wameapa kutoipa ccm kura kwa kauli hiyo na kufikia hatua ya kudai kuwa serikali ya ccm mbona inakusanya kodi kupitia kwa pombe ambayo watumiaji wake wanaonekana ni wabaya katika jamii.

Nape ametakiwa kuachana na kura hizo ziende UKAWA.
 
Ni Ufinyu wa wa Ubongo na Ukosefu wa busara Kuwaita Watu Wote Wanaojitokeza Kumsuppory Mh. Lowassa Eti Wanywa Viroba, Wavuta Bangi ..nk.
Kundi Hili Wanalolidharau CCM, Hakika Litaawapekea Msiba wa Kihistoia na Watapoteza Siku Ikifika.
 
jamaa ana matusi kweli..
mbaya zaidi anawatukana Watanzania.
 
jamaa ana matusi kweli..
mbaya zaidi anawatukana Watanzania.

CCM BADO WANAWATUKANA SANA WATANZANIA HALAFU WANATAKA KURA ZAO,waache waendelee na matusi yao. KURA YETU NI KWA LOWASSA WA CHADEMA,UKAWA.
 
CCM kama ni matusi na dharau kwa wananchi wa Tanzania kwakweli mnayo,halafu bado mnataka watanzania wawapigie kura zao kweli wakati Mnawaibia mali zao haitoshi mnawatukana hadharani.
 
Kauli inayofanana na hiyo ilitolewa na JK mwaka 2010 kama sikosei ilikuwa kwa waalimu, alupoona mambo yamekaa vibaya basi akajirudi eti mlininukuu vibaya, natumaini safari hii hata recording zipo so vijana ujumbe ndio huo.....kutokana na kunywa viroba kura zetu zina harufu ya value na vodca hivyo hazihitajiki huko kwa Makufuli.
 
Wanaukumbi.

Katika mazungumzo yake na media Katibu wa Halmashauri Kuu Itikadi na Uenezi Nape Nnauye amesikika akisema kuwa mikutano mingi ya UKAWA imejaa wanywa viroba,walevi na wavuta bangi.

Hili ni tusi kwetu vijana kwani tuliojiandikisha wengi ni watumiaji wa vilevi hivyo ili kukabiliana na mawazo ya ugumu wa maisha.

Hatukutegemea kuwa Ccm haitaki kura zetu vijana kwani hali mbaya ya kiuchumi inachangia kukosa hata suruali ya kubadilisha,hatua ya kuonekana kila mchafu kutokana na kazi za toyo,kuchimba mitaro na makondakta,wapiga debe basi wote ni wanywa viroba.

Vijana wengi wameapa kutoipa ccm kura kwa kauli hiyo na kufikia hatua ya kudai kuwa serikali ya ccm mbona inakusanya kodi kupitia kwa pombe ambayo watumiaji wake wanaonekana ni wabaya katika jamii.

Nape ametakiwa kuachana na kura hizo ziende UKAWA.

Huyo mtu anayeitwa NAPE nilisha wahi kusema uelewa wa siasa hana na wala hakupaswa kuingia katika fani hiyo amasivyo kuna alichokiona atakipata akiingia kwenye siasa!
 
Ni Ufinyu wa wa Ubongo na Ukosefu wa busara Kuwaita Watu Wote Wanaojitokeza Kumsuppory Mh. Lowassa Eti Wanywa Viroba, Wavuta Bangi ..nk.
Kundi Hili Wanalolidharau CCM, Hakika Litaawapekea Msiba wa Kihistoia na Watapoteza Siku Ikifika.

kaka kwa tume isiyo huru ukawa watashinda kweli.
 
Nape ni kati ya watu ambao nia hasara kubwa taifa kuwa nao, ingekua enzi za utumwa alikuwa na wale watu wakutoa bure kwa mohamed tip tip..ni hAsara kubwa kawa taifa kuwa na mtu kama nape kwenye nafasi yoyote ile, anaakili finyu sana
 
CCM BADO WANAWATUKANA SANA WATANZANIA HALAFU WANATAKA KURA ZAO,waache waendelee na matusi yao. KURA YETU NI KWA LOWASSA WA CHADEMA,UKAWA.
Kupigia kura UKAWA ni kuiadhibu CCM kwa utovu wake wa adabu! Haya shime Watanzania wote, chama hiki ambacho kimegawa ardhi yetu kwa wageni kwa kisingizio cha wawekezaji, chama ambacho kimeuwa tembo wetu kule mbugani, ambacho kimeingia mikataba mibovu ya madini yetu na hayana effect yoyote katika uchumi wetu, chama ambacho hata gesi yetu kimeingia mikataba ya kifisadi, chama ambacho viongozi wake wanagawana fedha za uma na kubeba kwa viroba wakati sisi maisha yanazidi kuwa jiwe, chama kilichotuahidi ahadi za uongo kwa muda wote, TAREHE 25 OKTOBA TUKAKIPE ADHABU INACHOKISTASHILI!

Watavikumbuka viroba baada ya Oc25 angalau viwapoze machungu ya kutimuliwa ikulu...
 
Back
Top Bottom