shauri zako, ngoja mwigulu akusikie, Ngumi moja tu huamki, kasema mwenyewe.
Mussa Tesha=Condom ya Mwigulu,anatolewa kafala bila kujielewa.Ignorance is the problem.
Mwigulu ana utindio wa Ubongo
Jamhuri iwe shahidi wa Jamhuri? yawezekanaje? Kwa sasa Mwigilu ndiye amirijeshi mkuu wa majeshi yetu na anachotaka ndiyo kinafanyika kwa amri yake - Ila cheo chake hiki kipya kinaisha baada ya mwenye -kigoda kumaliza muda wake, yawezekana pia ukawa mwisho wa kisiasa wa huyu kijana mwenzetu mwenye speed kali.lazima pia Mwigulu Nchemba awe shahidi namba moja wa jamhuri.
ngoma iko overloaded ---ha ha haHapana Mkuu. Mwigulu Nchemba ana akili timamu, ila kapewa kazi kubwa kuliko uwezo wa akili yake. Ni kama pick-up imepewa kazi ya fuso.
Kwani mwigulu ana akili timamu? Ni kichaa anayeua chama, huku mwenyekiti wake akishangilia.
Mungu yupo
Katika siku za hivi karibuni, Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara Mwigulu Nchemba amekuwa akitembea katika kila kona ya nchi ya Tanzania na mfuasi mwenzetu wa CCM aitwaye Tesha. Mfuasi huyu anadaiwa (hasa na Mwigulu) kumwagiwa tindikali na wafuasi wa CHADEMA wakati wa harakati za Uchaguzi Mdogo wa Ubunge Jimbo la Igunga.
[COLOR=#000000 [B]Mwigulu Nchemba[/B] ameshazunguka sehemu mbalimbali akiwa naTesha-wa-Igunga. Mwigulu anaomba uungwaji mkono wa watanzania kupitia mhanga huyu wa tindikali. Ni hivi katibuni tu Mwigulu Nchemba alikuwa na Tesha-wa -Igunga katika Kampeni za uchaguzi za Udiwani wa Arusha.[/COLOR]
Nia hasa ya Mwigulu Nchemba ya kutembea na kuutangazia umma kuwa Tesha-wa-Igunga amemwagiwa tindikali na CHADEMA na kuwa kama alivyo sasa ilikuwa ni kupaka matope CHADEMA na kuonesha chama hicho kama chama cha unyama na hakifai kuaminiwa na kuungwa mkono na watanzania.
Nia nyingine ni kuanzisha kesi dhidi ya CHADEMA. Hili sasa linafanywa na Polisi na Kurugenzi ya Mashtaka. Lakini,vyombo hivi vya kisheria vilikuwa wapi tangu uchaguzi wa Igunga hadi Mwigulu Nchemba alipoanza kutembeana Tesha-wa-Igunga? Vipi kuhusu Saed Kubenea na Ndimara Tegambwage waliomwagiwa Tindikali hata kabla ya Tesha-wa-Igunga? Nani alizunguka nao? Wao hawana thamani?
Siasa ni hoja,sera na ushawishi.Si vinginevyo. Ushindi wa mezani umepitwa na wakati. Si kila mtu anafurahia kunyanyaswa kwa CHADEMA.Wengine wanaona huruma na kuona kuwa chema kinakatazwa kisiwasaidie watanzania.
Tesha-wa-Igunga hataisaidia chochote CCM yetu zaidi ya kupandikiza umakini wa kutenda,KUCHUNGUZA na kusema kwa CHADEMA. CCM,katika hali hii,haitabaki salama.Italindwa,itatumikiwa lakini ipo siku itasalitiwa na kukimbiwa.
Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
hivyo navyo atasema mmemfanyia UGAIDI mwilini.wakati mwingine kumuongelea sana huyu mwigulu ni kupoteza muda, dawa yake huyu ni vidole vya maxxxko tu, atakuja mikoani tu....
Kwani mwigulu ana akili timamu? Ni kichaa anayeua chama, huku mwenyekiti wake akishangilia.
kwa wataalamu wa sheria kupitia majukwaa ya kampeni wafuasi wa chadema tayari wamehukumiwa na mh. Mchemba mwigulu kuwa ndio waliofanya kitendo kile hapo hapo wafuasi wake wanashtakiwa kwa kosa ambalo mh mchemba mwigulu ameshatoa hukumu........sheria hapa inasemaje? Wanashtakiwa ili kukazia hukumu ya mh.mchemba au itatolewa hukumu ingine? vuta-nkuvute