THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 18,879
- 15,273
kwani mtwara kuni zimeisha?
mkuu kwa hili nakupinga
gesi inapogunduliwa inakuwa ni kwa manufaa ya taifa zima na sio mtwara pekee
mwekezaji anapopewa leseni ya kutafiti na kuchimba gesi na baadae mafuta anajenga pipelines
waliosoma hii wanasema anakuwa na plan for field development and na plan for installation
kutoka offshore kuja onshore,kisha wanaweka distribution,moja zitakuwa huko mtwara na zingine kuja dar kwa
ajili ya viwanda,kuzalisha umeme na matumizi mengineyo, huko ndiko kwenye market na matumizi
ingine wana wanachange form kuwa liquid ili isafirishwe nje.
Walaji au watumiaji gesi mtwara ni wachache.
Na ifahamike hiyo gesi hamwezi kuitumia majumbani bila kufanyiwa processing
kuhusu kunufaika nayo ni suala la kiutawala serikali kuu kuamua na sio wananchi wa mtwara kuamua
mlima kilimanjaro au mbuga za wanyama haziwanufaishi watu wa kilimanjaro pekee fedha zinaenda serikali kuu
labda mkitaka hivo mchague chadema wenye sera ya majimbo ndio mtanufaika kama katiba itaridhia majimbo.
Ukisoma policy mpya ya petroleum and gass ni kuwa mafuta na gesi ni mali ya watanzania wote na sio wana mtwara
pekee.
Kwa hivo hakuna mwanamtwara mwenye haki ya kupinga hili.
Wala msije mkaota.
mtwara kuna kiwanda gani mkuu?
Shera iko wazi gesi na mafuta ni kwa manufaa ya wananchi wote na sio wa eneo moja tu.
Nani atakuwa tayari kufanya processing mtwara?
Tatizo hatuna sheria nzuri ya gesi,hatuna petroleum tax act,wala regulation zake
hela ambazo ziko uswizi ndio hizo watu wametoa fasta
fasta blocks kwa makampuni ya kutafiti na kuchimba gesi
hatujui serikali inachukua tax kiasi gani kwajili ya exploration na production of gas
wala wananchi hawajashirikishwa ili muwe na sauti na rasilimali yenu
watu wengine kutoka sehemu nyingine walishawaamulia kitambo
gesi mtaisikia tu inapita lakini mapato yake wanajua wao
hatuelewi kwanini wizara moja itoe vibali badala ya bunge kuidhinisha hilo ili kuepuka rushwa
hakuna chombo cha kumonitor nk
watu wanaofanya kazi kwenye blocks hizo tra haiwajui,
mishahara yao haikatwi kodi,sisi hatuwafaidi kama taifa
ni wachache ndio waliobahatika kujiwekea fasta fasta uswizi
,kwa hivo mkuu safari bado ndefu sana
the big show! Suala si kuhamisha gesi mtwara, bali kuwa na mfumo wazi kuhakikisha jamii za mtwara zinapata first priority kuwekewa umeme/huduma hiyo ya gesi (japo nyumba nyingi kule ni nyasi na makuti....umaskini umekithiri) sijui namna gani wanaweza kulipia ankara za kila mwezi za taanesco! Pia, tunaweza hapa kuongelea corporate social responsibility (csr) na open governance -kuhakiksha kunakuwepo uwazi katika makusanya ya kodi itokanayo na gesi na fungu fulani kuachiwa wananchi -(sio viongozi wao) waboreshe miundo mbinu maeneo yao
nasapato kwa sababu zifuatazo:-
1. Mtwara ni mkoa kama ulivyo dar es salaam na ardhi ipo ya kujenga viwanda serikali ifanye mtwara ndio kitovu cha viwanda.
2. Kama kuhamisha gesi ni rahisi basi na serikali nayo ifanye maamuzi ya haraka ya kuamia dodoma.
3. Viwanda vikiwa kusini mikoa yote ya kusini itakuwa kiuchumi na kuzalisha ajira nyingi zaidi.
Mtwara kuna kiwanda gani mkuu?
shera iko wazi gesi na mafuta ni kwa manufaa ya wananchi wote na sio wa eneo moja tu.
nani atakuwa tayari kufanya processing Mtwara?
Subiri kwanza katiba mpya ilete serikali ya majimbo, jimbo la kusini ndo litaamua iwe ni kwa manufaa ya eneo moja au vinginevyo. Katika hili suala tutaamua wenyewe kuwagawia au vinginevyo, ili mtueleze vizuri kwa nini kilometa sitin( Somanga muhoro) mpaka leo(kuanzia 2005) hazijaisha wakati maeneo mengine hadi kata zinaunganishwa kwa lami ndani ya mda mfupi.
Mtwara kuna kiwanda gani mkuu?
shera iko wazi gesi na mafuta ni kwa manufaa ya wananchi wote na sio wa eneo moja tu.
nani atakuwa tayari kufanya processing Mtwara?
Subiri kwanza katiba mpya ilete serikali ya majimbo, jimbo la kusini ndo litaamua iwe ni kwa manufaa ya eneo moja au vinginevyo. Katika hili suala tutaamua wenyewe kuwagawia au vinginevyo, ili mtueleze vizuri kwa nini kilometa sitin( Somanga muhoro) mpaka leo(kuanzia 2005) hazijaisha wakati maeneo mengine hadi kata zinaunganishwa kwa lami ndani ya mda mfupi.
UMEONGEA KWELI MKUU,,
CCM IMEFIKISHA MAHALA HAPA MKOA HUU,,
NA WAMEJONEA WENYEWE HAPA JUZI JUZI KWA ZOMEA ZOMEA ILIYOWAKUMBA
loh! Kuna watu humu wana akili zenye kukatisha tamaa. Kwani hiyo gesi ni taa kusema unaiondoa mtwara na kuipeleka ikaangaze bagamoyo?
Kwani madini yaliyopo arusha yanatumika kuiendeleza arusha peke yake? Akili za wapi hizi jamani!
Umeme mnaotumia mtwara miaka yote unatoka hapo mtwara? Cement mnayotumiwa ilikuwa inachimbwa hapo hapo mtwara?
uozo wote wa kudumaza maendeleo ya mtwara umeletwa na serikali ya ccm.kibaya zaidi kila mara wanakuja mtwara kutengeneza majukwaa ya kueneza utapeli wao, kugawa kofia na tshirt za kijani na mnawashangilia na kukejeli cdm. Hamuwahoji hata uwiano wa rasilimali zilizopo mtwara na mustakbali wa maendeleo ya mikoa hiyo ya kusini.mnakesha mitandaoni mkimsapoti nape aliyeshindwa kuwaletea maendeleo akiwa mkuu wa wilaya huko kusini.watu wa kusini mnaiponda chadema ambayo kumbe imejaa sera za ukombozi wenu.mmeshachelewa kulilia raisilimali za kusini, gesi ndiyo hiyoooooo inasepa, ccm watarudi tena kusini kujenga majukwaa ya kuomba kura.
hapa ndipo tunaona umuhimu wa devolved goverment. Sehemu zilizo baguliwa kimaendeleo ikiwemo mtwara. Zitafaidi rasilimali ya taifa. Hofu katiba mpya aka ccm sponsered katiba itapuuzilia mbali usawa mgawo wa mkate wa taifa.