CCM football club.

CCM football club.

busha

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2019
Posts
1,711
Reaction score
2,579
Wakuu nimewaza nikafikiria hivi CCM wangekua na timu ya soka ingekuwaje ndani dk 90 uwanjani?

Baada ya izo dk 90 kuisha uwanjani CCM kala 4-0 matokeo yanaweza achwa ivyoivyo au yatageuzwa?
 
CCM KIBOKO si ajabu refa angeambiwa kuwa mwisho yeye ndo atataja matokeo na akimtaja mshindi ndo huyo huyo hata kama uliona tofauti na hakuna kukata rufaa
 
CCM kabisa haipo ilishakufa hii iliyobaki ni "Placenta" tu.
 
Back
Top Bottom