Katika hali isiyo ya kawaida Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dar es Salaam John Guninita amemshambulia vikali waziri wa ushirikiano Afrika Mashariki Samwel Sitta kwamba anataka kuua chama.
Propaganda za magamba hizi....sitta alikuwa sahihi kwani kuna chochote cha kuzusha alichoongea? Mbona aliongea ukweli. Au chama cha magamba ukweli kwao sumu?
Sasa mbona kwenye mkutano wa Mbeya Sita alikuwa na Nape? Nape naye hakupata baraka za Mukama na JK au ni Sita peke yake? Au hawakujua atakayoyaongea Sita? Kusema anaweza kufanya mikutano mikoani ina maana gani hasa? Why not Dar?
Ama kweli ukitaka kujua siri ya mtu mkasirishe.Tungejuaje kama walimnyima uspika na sio demokrasia ilifuatwa.haya bwana kumbuken vita ya panz furaha kwa kunguru.
ccm cham cha mazuzu***** na watu wenye akili za kawaida na mbaya kabisa, Sitta kilema wa ufahamu, na hao wengine ni watu wasio aminika kabisa, hiko ni chama kinachoangamia ....! kazi yao malumbano,. kelele na rushwa kama si Ufisadi
Alipwe sleeping allowance yake haraka sana ...Wengi wao wamechoka ile mbaya lakini bado wamo tu! hawataki kuachia wenye nguvu wachukue nafasi zao! Duh! kuna haja ya kuanzisha 'sredi' ya mapicha ya Wabunge wote wanaochapa usingizi Bungeni wakiongozwa na yule Wassira.
Kweli bungeni raha...unachapa usingizi mtindo mmoja huku hujuwi nini kinachoendelea katika mahojiano ndani ya Bunge kisha unasaini attendance sheet kuonyesha "uwepo" wako Bungeni tayari kukinga mkono kwa ajili ya posho zako mbali mbali ikiwemo ya kuchapa usingizi.
Mwenyekiti bado hajui awe upande gan? Kwa akina Lowasa au akina Sita,ila ki-aina anaegemea kwa Kina Sita,kule si ndio kuna mawaziri na katibu?.Menyekiti Kiiiimyaaaa.