Hiki chama kinaenda kujiangamiza chenyewe kwa siasa zake ndani na nje. Walisema hakitatikisika, kina uzoefu wa kuhimili mitikisiko, safari hii kimeyakanyaga, zile nguvu kama za Samsoni hazipo, Samsoni alijititimua akidhani ana nguvu kumbe hazipo, ziliishaondoka, akaangamia pamoja na watesi wake. Unaweza kuwa na nguvu nyingi sana ila ipo siku zitatoweka