CCM chama dume, kinakwenda kushinda kabisaaa

CCM chama dume, kinakwenda kushinda kabisaaa

Mondoros

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2015
Posts
629
Reaction score
474
TUKUMBUKE KUWA NI MIEZI TISA TOKEA TUTOKE KWENYE UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA,UCHAGUZI AMBAO NI MHIMU KATIKA KUONYESHA TREND YA UCHAGUZI MKUU UTAKUWAJE,KATIKA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA CCM ILISHINDA KWA 75% AMBAPO TAFASIRI YAKE NI KUWA WANANCHI WANA IMANI NA CCM.

PILI UWEZO WA MGOMBEA WA CCM NDG MAGUFULI AMBAYE NI MWADILIFU NI SABABU NYINGINE YA USHINDI WA CCM.
TATU,NI UKARIBU WA CCM NA WANANCHI,CVM IMEJIKITA KUTOKA KWENYE NYUMBA KUMI MPAKA NGAZI YA TAIFA IKIWA NA WANACHAMA KILA NYUMBA NCHINI NA NJE YA NCHI.
NNE,NI SERA NZURI YA CCM NA MISINGI MATHUBUTI YA CCM AMBAYO INAONYESHA CHAMA KUWA CHA WANANCHI,CORE IDEALS OF PART.
TANO NI KUASISI SERA MPYA YA KUKEMEA UFISADI NA WIZI AMBAYO NI KERO KUBWA YA WANANCHI AMBAYO INASABABISHA KUKOSA HUDUMA MHIMU ZA KILA SIKU.
SITA NI ILANI NZURI INAYOTEKELEZEKA KWA URAHISI NA USIMAMIZI MZURI WA UTEKELEZAJI WAKE
NINA IMANI KWA SABABU HIZO CCM NA MAGUFULI USHINDI NI SAA MOJA ASUBUHI
MAGUFULIKA NA MAGUFULI
‪#‎MsemaKweli‬
‪#‎HapaKaziTu‬
 
watanzania bado tunaimani kubwa sana na Magufuli kupitia chama cha mapinduzi zaid tunasema ni bora kupata kiongoz bora kama alivyo Magufuli na sio wenye vinasaba vya ufisadi
 
Mwaka wa chadema kupotaena umefika kwani wamesimamisha mwizi kupeperusha bendera yao pamoja na kuwa walijijengea hekima kubwa sana ya kupiga vita ufisadi sasa hivi huo ujasiri hawana tena kwani jemedari mwenyewe ndo mhusika katika hili
twende na Magufuli kwa maslahi mapana yaa taifa letu
 
Magufuli Rais wetu wa awamu ya tano kiongozi asiye mwizi hata chembe.
 
Mwaka wa chadema kupotaena umefika kwani wamesimamisha mwizi kupeperusha bendera yao pamoja na kuwa walijijengea hekima kubwa sana ya kupiga vita ufisadi sasa hivi huo ujasiri hawana tena kwani jemedari mwenyewe ndo mhusika katika hili
twende na Magufuli kwa maslahi mapana yaa taifa letu
Ccm mbele kwa mbele wataisoma namba.
 
mchapa kazi, mfuatiliaji, na mzalendo wa kweli dr jp magufuli.
 
Hahahah ninachowakubali nyie washkaji hua mna shituana akipost mmoja wengine fasta huja mbio kusapot hahah, hongereni kwa hilo
 
TUKUMBUKE KUWA NI MIEZI TISA TOKEA TUTOKE KWENYE UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA,UCHAGUZI AMBAO NI MHIMU KATIKA KUONYESHA TREND YA UCHAGUZI MKUU UTAKUWAJE,KATIKA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA CCM ILISHINDA KWA 75% AMBAPO TAFASIRI YAKE NI KUWA WANANCHI WANA IMANI NA CCM.

PILI UWEZO WA MGOMBEA WA CCM NDG MAGUFULI AMBAYE NI MWADILIFU NI SABABU NYINGINE YA USHINDI WA CCM.
TATU,NI UKARIBU WA CCM NA WANANCHI,CVM IMEJIKITA KUTOKA KWENYE NYUMBA KUMI MPAKA NGAZI YA TAIFA IKIWA NA WANACHAMA KILA NYUMBA NCHINI NA NJE YA NCHI.
NNE,NI SERA NZURI YA CCM NA MISINGI MATHUBUTI YA CCM AMBAYO INAONYESHA CHAMA KUWA CHA WANANCHI,CORE IDEALS OF PART.
TANO NI KUASISI SERA MPYA YA KUKEMEA UFISADI NA WIZI AMBAYO NI KERO KUBWA YA WANANCHI AMBAYO INASABABISHA KUKOSA HUDUMA MHIMU ZA KILA SIKU.
SITA NI ILANI NZURI INAYOTEKELEZEKA KWA URAHISI NA USIMAMIZI MZURI WA UTEKELEZAJI WAKE
NINA IMANI KWA SABABU HIZO CCM NA MAGUFULI USHINDI NI SAA MOJA ASUBUHI
MAGUFULIKA NA MAGUFULI
‪#‎MsemaKweli‬
‪#‎HapaKaziTu‬

udume wake kazi yake ni kunyang'anya haki za rai au una maana gani unaposema ccm chama dume. huna maana wewe umenunuliwa. tabia ya kununuliwa umeanza lini?
 
tukumbuke kuwa ni miezi tisa tokea tutoke kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa,uchaguzi ambao ni mhimu katika kuonyesha trend ya uchaguzi mkuu utakuwaje,katika uchaguzi wa serikali za mitaa ccm ilishinda kwa 75% ambapo tafasiri yake ni kuwa wananchi wana imani na ccm.

Pili uwezo wa mgombea wa ccm ndg magufuli ambaye ni mwadilifu ni sababu nyingine ya ushindi wa ccm.
Tatu,ni ukaribu wa ccm na wananchi,cvm imejikita kutoka kwenye nyumba kumi mpaka ngazi ya taifa ikiwa na wanachama kila nyumba nchini na nje ya nchi.
Nne,ni sera nzuri ya ccm na misingi mathubuti ya ccm ambayo inaonyesha chama kuwa cha wananchi,core ideals of part.
Tano ni kuasisi sera mpya ya kukemea ufisadi na wizi ambayo ni kero kubwa ya wananchi ambayo inasababisha kukosa huduma mhimu za kila siku.
Sita ni ilani nzuri inayotekelezeka kwa urahisi na usimamizi mzuri wa utekelezaji wake
nina imani kwa sababu hizo ccm na magufuli ushindi ni saa moja asubuhi
magufulika na magufuli
‪#‎msemakweli‬
‪#‎hapakazitu‬
kweli nyie chama dume ndo maana mgombea wenu alikuwa anafanya maoezi ya pushup hana hata aibu kuwa anamdhalilisha mkewe. Na hiyo ni kawaida yenu hata huyu anayetoka si ndio ilikuwa kawaida yaek
 
Una maana hii hapa kwenye picha au
 
Attachments

  • 12009731_831585376940774_3930244626847154494_n.jpg
    12009731_831585376940774_3930244626847154494_n.jpg
    77.4 KB · Views: 124
Uko sahihi chadema hiyo mistake wataikumbuka daima. Ulikua mwaka wao ila kuweka mwizi na tamaa kwisha.
 
Wewe unajua maana ya dume kweli?dume ni yule anatosheleza familia yake kuihudumia hivi ccm imefanyia watanzania nini?wewe unajifanya huoni watanzania wanavyo teseka?
 
Inamaana watanzania wataenda miaka kumi mingine ya kunyanyaswa,ufisadi na uongozi mbaya..nashangaa hiki chama mwakipendea nini.hiki chama hakina mapya wala mfumo badala wa kuukuza uchumi wenu. mukichagua CCM basi muisahau katiba mpya.
jifunzeni kupitia mageuzi ya kenya yaliyoambatana na kung'olewa kwa chama cha KANU
 
Acha kushabikia ujinga,kila cku tunaongezewa mzigo,lipia umeme uone unakatwa pesa na kulipia ewura na rea,inakuwaje mteja anachangia maendeleo ya kampuni,mnashabikia ccm kwa maumivu ya wananchi na uchumi
 
Lowassa kageuka kimavi kwa CDM ..poleni sana wajukuu wa lwassa born 1990's
 
Magufuli amefanya ufisadi kwenye kuuza nyumba za serikali,meli ya bagamoyo hafai,,Rais ni Lowasa
 
Back
Top Bottom