CCM chali Mkoa wa Dodoma

CCM chali Mkoa wa Dodoma

OJODE

Member
Joined
Sep 19, 2015
Posts
27
Reaction score
14
Wananchi Wa Mkoa Wa Dodoma Wameshachoka Na Ccm Kila Kona Ukipita Wanasema Wanataka Mabadiliko Ya Lowassa Ili Waaondokane Na Kuomba Na Kuendelea Kuishi Kwenye Nyumba Za Tembe,hadi Karne Ya Sayansi Bado Wanaishi Ktk Nyumba Za Tembe, Wananchi Hao Walidai Kuwa Ccm Inasema Kwamba Dodoma Ni Ngome Yao Mwaka Huu Hawapati Kitu!
 
Unaota kama yule anayejinyea
 
wewe acha kutingisha antenna wewe pimbi! sie nyumba zetu tumejenga tembe tunataka ubaridi huko aridhini! tembea huko
 
Miaka hamsini na nne wanapiga pushapu...Tanga kimenuka Wema hana hamu..
 
Hata aje malaika kama watu hawatajishughulisha wataendelea kuomba omba na kuishi kwenye tembe tu issu ni kujishughulisha
 
Unaota kama yule anayejinyea

We kikojozi dodoma tunajitambua sasa hivi na hizi kashfa zenu wale wazee wachache mliobaki nao wameanza kuwakimbia...harufu ya beberu wewe..twaweza ndo watawapigia kura
 
Ile ndo pushap au anatuonyesha mambo yake na janeth chumbani..kwa kweli mwenyekiti ajae wa ccm kazi ipo
 
Mkuu wewe jifariji mwaka huu mtakoma kulinga na nina imani kura za rais mkipata zaidi ni 25% mliyompa Lowasa.

Hizo 25%ndio za upinzani marekani mtu anajinyea alafu mnajipa matumaini ambayo hayapo...
 
Wananchi Wa Mkoa Wa Dodoma Wameshachoka Na Ccm Kila Kona Ukipita Wanasema Wanataka Mabadiliko Ya Lowassa Ili Waaondokane Na Kuomba Na Kuendelea Kuishi Kwenye Nyumba Za Tembe,hadi Karne Ya Sayansi Bado Wanaishi Ktk Nyumba Za Tembe, Wananchi Hao Walidai Kuwa Ccm Inasema Kwamba Dodoma Ni Ngome Yao Mwaka Huu Hawapati Kitu!

Uje na takwimu kama Twaweza sio unapita kwenye kijiwe cha kahawa unawasikia watu wawili wanaongea basi mbio unakurupuka unakuja humu unaanza kutudanganya kua wananchi wa Dodoma hawaitaki CCM. majungu na uwongo peleka ukawa hapa kazi tu
 
Wananchi Wa Mkoa Wa Dodoma Wameshachoka Na Ccm Kila Kona Ukipita Wanasema Wanataka Mabadiliko Ya Lowassa Ili Waaondokane Na Kuomba Na Kuendelea Kuishi Kwenye Nyumba Za Tembe,hadi Karne Ya Sayansi Bado Wanaishi Ktk Nyumba Za Tembe, Wananchi Hao Walidai Kuwa Ccm Inasema Kwamba Dodoma Ni Ngome Yao Mwaka Huu Hawapati Kitu!
Mkuu nadhani wewe Dodoma ni mpitaji sio mwenyeji wala mkazi wa hapa. Kwa mkoa wa Dodoma sio rahisi kwa vyama vya upinzani kupata hata jimbo moja. mfano Dodoma mjini, Antony Mavunde hata akiacha kuendelea na kampeni leo ataibuka na ushindi wa kishindo. Subiri Oktoba ndo utaamini, watu wa Dodoma waache kama walivyo.
 
hali ni mbaya kwa ccm mwaka huu wiki iliyopita walimu waliitwa wa sec waliitwa na viongozi wa serikali na kukiri hali ni mbaya wanaomba walimu wapige kampeni mashuleni ili wanafunzi waichague ccm na mimi nilihudhuria kweli hali ni tete.
 
Back
Top Bottom