kwa hakika kiatu ukikiva siku nyingi lazima kinuke kwa sababu ya uchafu ulioko ndani, hivyo wananchi wameamua kununua kiatu kipya na kilicho imra, watanzania waleo sio wajana pia na wajana sio wa leo.kwa kawaida uchafu huleta madhara ambapo matokeo yake ni kifo ,kwa hali hiyo watanzania ndo wanaanza kujikinga na madhara hayo. NAHAYA NDO MABADILIKO .MAGAMBA MSISHANGAE TUACHENI TUOKOE NCHI YETU.Hizi ni salam kwa NAPE