Cuf= ccm,tlp=cmm,udp=ccm,nccr=ccm kasoro wabunge wake
CUF wanasema m/kiti na katibu ni watume
Tangu Tanzania ianze mfumo wa vyama vingi ni vyama viwili pekee ambavyo vimeweza kubadilisha wenyeviti wao kitaifa .Vyama vingine kama vile cuf,tlp,na Udp ni kama vile ukishakua mwenyekiti wa chama kitaifa njia pekee ya kuondoka kwenye uwenyekiti kitaifa ni mpaka hapo Mwenyezi mungu atakapoamua na si vinginevyo,hii ni aibu si tu kwa taifa letu bali pia ni ubakaji mkubwa wa demokrasia yetu changa
Haa haa hii ni matusi kwa wafuasi wa vyama husika
Tuweke kumbukumbu vizuri kwa faida ya mwanzisha mada na wasomaji.Tangu Tanzania ianze mfumo wa vyama vingi ni vyama viwili pekee ambavyo vimeweza kubadilisha wenyeviti wao kitaifa .Vyama vingine kama vile cuf,tlp,na Udp ni kama vile ukishakua mwenyekiti wa chama kitaifa njia pekee ya kuondoka kwenye uwenyekiti kitaifa ni mpaka hapo Mwenyezi mungu atakapoamua na si vinginevyo,hii ni aibu si tu kwa taifa letu bali pia ni ubakaji mkubwa wa demokrasia yetu changa
Umesema vema, James Mapalala ndiye mwasisi wa chama cha CUF ambaye baada ya kuwakaribisha kina Seif ndani ya chama aliwekwa pembeni muda mfupi tu baada ya kuamua kukikabidhi CUF kwa w kutokana na madai ya "wadhamini' (Waarabu wa Oman) kamwe wasingeweza kusapoti chama chenye viongozi wakristu. Naona Lipumba ni wa pili na wa kudumu hadi Mungu aamue vinginevyo. Sivyo?Mhhh wewe ndo unajiita "great thinker"!!! Aibu kubwa sana, ni bora kama hujui uulize, huenda umeanza kuijuwa CUF 2010! Lakini bni vyema uulize, ili uwe mjinga, kuliko kuripoka unaishia kuonyesha upumbavu wako hadharani!
CUF kimeshabadilisha wenyeviti na makatibu wakuu mara mbili (sio kwa kupeana mtu na mkwewe)! Mwenyekiti wa kwanza alikuwa James Mapalala, katibu mkuu akiwa ni Shaban Mloo (Kuchi), baadae Kaja Prof Lipumba na katibu wake Maalim Seif Sharif, kwa kura za wajumbe sio kupeana! Huwezi kufananisha na CHADEMA, uongozi wa kupena mtu na mkwewe!
Usirushe mawe nje, wakati umo kwenye nyumba ya vioo, utaadhirika!
Kwani CUF utaitofautishaje na CCM? ebu peleka upupu wako kwa wajinga wenzako wa CCM.Tumia akili wewe,ina maana ccm ndio inawaambia wenyeviti wangania madaraka au
" Kura huamua uwingi wa mabishano "Hahahaha hiki chama cha ukoo, baba mkwe kamuachia mkwewe uenyekiti, ndo munaiita democrasia! My foot! Kuna tofauti gani na kule arabuni wale wanaotaka kurithishana uongozi kati ya mtu na mwanawe, kama alivyotaka kufanya Ghadafi? Nyie kweli ni "great sinkers" Hivi ndo ukipenda chongo ndo uite kengeza?!!!!
Hahahaha hiki chama cha ukoo, baba mkwe kamuachia mkwewe uenyekiti, ndo munaiita democrasia! My foot! Kuna tofauti gani na kule arabuni wale wanaotaka kurithishana uongozi kati ya mtu na mwanawe, kama alivyotaka kufanya Ghadafi? Nyie kweli ni "great sinkers" Hivi ndo ukipenda chongo ndo uite kengeza?!!!!