NIMEKIMBIA CCM
Senior Member
- Oct 4, 2011
- 193
- 26
Da namshukuru mungu kwa kuniondoa kwenye hk chama cha matapel
kama ctakosea kuna kpnd nlickia ccm wanadai wame2mia njia moja katika kupata ushnd na kusema zimebaki 14.
Kwa akil nlizojaliwa wameshaanza ku2mia hata hzo 14,ikiwa ni pa1 na kudhoofisha wapinzani lakini imefua dafu,mfano
ku2mia polic vbaya,kuiba kura(hi hawawez tena kama hawamin wajarb 2015),kuzuia maandamano ya haki,kuuwa wa2 kule arusha ili wanachadema watishke,na wakamua kumbambkzia shujaa LEMA kesi kwa kuzani anaogopa lupango,sasa imekula kwao kwani yeye ndo alijpeleka,na akafanikiwa kujua maovu meng ya serkali,NA SASA Polc wanambembeleza akubali dhamana(nahc wame2mwa na ccm-bada ya kuona uchafu wao unazd kujulkana huko lupango)
ndugu zangu wanajami tuhakikishe 2namuiga mh lema kwa alyotuonesha,SWAL LANGU,HIVI HAWA CCM WATAKUWA WAMEANDAA MPANGO Upi sasa?MAANA NAONA WAKO KIMYA WAMEBASE KUUMBUANA WENYEWE KWA Wenyewe 2.
Nawaslsha