CCm bado ni wachanga katika siasa

Askari Muoga

JF-Expert Member
Oct 22, 2015
6,113
4,655
Kufuatia uchaguzi wa Jana nimeamini ccm japo ni chama kikongwa lakini bado akijakomaa kisiasa kabisa
Sikuona sababu ya wabunge wa ccm kuwapinga Masha na Wenje na kumpitisha mnyaa
Wenje ni mbunge mzuri na masha pia
Pia nimeamini ccm kwanza Tanzania baadaye sasa Chadema pelekeni Majina hayo hayo ya Wenje na Masha
 
Kosa lao kuchaguliwa nje ya Bunge.Kama na CCM na CUF wangeleta majina kamilifu,Bunge lingefanya kazi gani.CCM waliokuwa na lengo la kutoa fundisho.Yaani demokrasia iheshimiwe.
 
unaumia bure kwa matatizo mnayojitengenezea wenyewe.
Iache democrasia ifanyekazi si ndio ambayo huwa mnataka. Au wameiba
 
Back
Top Bottom