Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,175
- 48,459
Yes,Niliangalia ile harambee yao na jinsi wanavyoendesha chama chao, nikajiuliza kama CCM bado kina sifa ya kuendelea kuitwa chama Cha kijamaa...
CCM bado ni chama cha wakulima na wafanyakazi ama ndiyo kimeshakuwa chama cha MABEPARI na wafanyabiashra?
Ubeberu umetamalaki CCMπππ
Marajiri ndio waajiri na walipa kodi wakubwaMiaka 5 iliyopita, mgimbea wao- JPM alikataa michango ya matajili kama Mzee Mengi, ajabu leo hii ndio wanao alikwa kuja kuchangia bil 100 na msajili anawapa baraka kwamba wazitumie kama itavuyo wafaa... miaka 5 ijayo baada ya 29/10/2025, nchi hii itakuwa mshike mshike kwa sana..
-Mao ZedongUjamaa ulishakufa duniani kote
Siyo tu cha kijamaa; ni chama cha watu weusi? Au cha Waasia? CCM ni katawi tu ka Jamaat el Hindu, full stopNiliangalia ile harambee yao na jinsi wanavyoendesha chama chao, nikajiuliza kama CCM bado kina sifa ya kuendelea kuitwa chama Cha kijamaa...
CCM bado ni chama cha wakulima na wafanyakazi ama ndiyo kimeshakuwa chama cha MABEPARI na wafanyabiashra?
Ubeberu umetamalaki CCMπππ
Nyerere ujamaa ulimshinda hadi akajiuzulu kupisha nchi iendeshwe kibepari na sekta binafsiUnamuona JK ni mjamaa au Kabudi kiufupi Nyerere alilea vijana wahuni
Unajua maana ya chama cha kijamaa? Au unatafsiri kama wale wahuni kuhusu ujamaa?Yes,
ni chama cha kijamaa tena ni ule ujamaa wa kisasa kabisa,
Hapa tunazungumzia itikadi, falsafa na sera za CCM. Wajamaa na mabepari wote huajiri... Tofauti yao ni hizo sera zinazotokana na itikadi inayoundwa na falsafa ya chama.Marajiri ndio waajiri na walipa kodi wakubwa
Mtu kukataa michango yao anakuwa kichwani hazimo
Kuwa tajiri sio kosa
Ni rahisi mno kuielewa na kuzitafsiri familia hii madhubuti sana ya CCM ambayo haibagui mTanzania yeyote kwa rangi yake, kabila lake au dini yake. Haimdharau mwanadamu yeyote wala kumuheshimu mtu eti kwasababu tu ya utajiri au umaskini wake, bali inajali thamani ya utu wa kila mwanadamu regardless ya mirengo yao ya kisiasa.Unajua maana ya chama cha kijamaa? Au unatafsiri kama wale wahuni kuhusu ujamaa?
Vyama vya siasa hubagua watu kutokana na misingi ya itikadi zake. Huwezi sema Democratic ya Marekani inafafana kisera na Republican.Ni rahisi mno kuielewa na kuzitafsiri familia hii madhubuti sana ya CCM ambayo haibagui mTanzania yeyote kwa rangi yake...
Kwa ivo kufadhiliwa na mabwanyenye wa ndani ni salama zaidi kuliko hao mabwanyenye wa magharibi?wanaofadhiliwa na mabwenyenye ya magharibi π
ndio maana baadhi ya waropokaji wanaofadhiliwa na mabwenyenye ya magharibi hivi sasa wanasota korokoroni kwasababu walipoteza uelekeo right?πKwa ivo kufadhiliwa na mabwanyenye wa ndani ni salama zaidi kuliko hao mabwanyenye wa magharibi?
Hao mabwanyenye wa ndani hawana uhusiano na hao mabwanyenye wa magharibi?
Ukishaanza kukumbatia mabwanyenye iwe wa ndani ama wa nje, uhalali wa kuwa chama cha kijamaa unapotea
Chadema mathalani ilibagua mno watu ambao sio wachaga lakini pia haikupendelea wanachama wasio wakristu.Vyama vya siasa hubagua watu kutokana na misingi ya itikadi zake. Huwezi sema Democratic ya Marekani inafafana kisera na Republican.
Wakati republican hupendelea Serikali ndogo ya shirikisho (Federal Government) Democratic wao ni kinyume chake.
Sasa kama hakuna ubaguzi wa kisera ni kwa nini tuna vyama vingi tofauti?