Mulangila Mukuru
JF-Expert Member
- Feb 24, 2010
- 1,945
- 729
We mpuuzi kweli. Mbona mnatuchukia sana kaskazini? Au ni wivu wa maendeleo? Too mainstream stupidsafari hii ingekuwa maajabu ya 8 ya dunia
kabila kubwa kabisa limebarikiwa kumpata mgombea wa kabila lao halafu limkatae
eti likamchagukutoka Milama Meru au Kilimanjaro yaani ningewapuuza sana
HONGERENI WASUKUMA, WAHAYA, WAZINZA nk kwa kuwakataa Wachagga waachieni labda vibiashara lakini sio SIASA
ni uhakika Magufuli na CCM yake ni mpaka 2025, sasa hapo ndio tutaangalia km ni Mgogo au Mbena lkn Kaskazini wasubiri kauli ya Baba was Taifa na Ridhiwani hazijafutika
"ukweli ni kuwa wananchi walio wengi kanda ya ziwa bado hawana imani na ccm". Ni utafiti wako au wa ukawa?
Kwa hii kasi ya Magufuli naimani huko tuendako chadema watakuwa na hali ngumu sana kanda ya ziwa. Maana ata kura alizokosa ni zile za mashaka kwa chama chake ila sasa ni kama anaitakasa ccm na serikali. Ngoja tuone.
Elewa kuwa JPM pia ni mlugaluga asilia. Si unaona sasa sasi jabela mitwe?...Hongera JPM kwa kuwa na imani na wa kaskazini kuliko walugaluga
safari hii ingekuwa maajabu ya 8 ya dunia
kabila kubwa kabisa limebarikiwa kumpata mgombea wa kabila lao halafu limkatae
eti likamchagukutoka Milama Meru au Kilimanjaro yaani ningewapuuza sana
HONGERENI WASUKUMA, WAHAYA, WAZINZA nk kwa kuwakataa Wachagga waachieni labda vibiashara lakini sio SIASA
ni uhakika Magufuli na CCM yake ni mpaka 2025, sasa hapo ndio tutaangalia km ni Mgogo au Mbena lkn Kaskazini wasubiri kauli ya Baba was Taifa na Ridhiwani hazijafutika
wewe Kweli umepagawa!! Mmachame ni Mmachame huwa hamnaga shukurani na hakuna kutosheka... si mrudi kwenu kaskazini!!! Majimbo na halmashauri ziko chini ya UKIWA huku mnataka nini???/