hilo linajulikana wao ndio waliuza loliondo Leo wanatafuta kiki,wameingia mikataba ya hovyo na barick kimya kimya Leo kelele utadhani wamevumbua kitu kumbe hata mtoto hawezi kuingia mikataba ya kutoa mchanga Nchini na kupeleka nje...
Wote waliohusika na uovu wanajitenga na ccm na kuingia chadema sijui huyo adui ni mtu anayetumia madalaka vibaya ama chama. Unaweza kupewa mamlaka na ukatumia vibaya, je hapo ni chama ama mtu binafsi. Leo nyalandu ndio huyo anaelekea chadema hamjiulizi kwa nini watu waliolitia hasara wanakiambia ccm?
Jamaa yuleeeee, wa chama kileeeee( Muslim brotherhood)
Hoja yangu ni kwamba, suala si uchadema wala uccm kwamba vyama hivyo ndiyo tegemeo letu kwenye ukombozi wa taifa hili. Suala ni umoja wa kitaifa usio na mgawanyo wa kivyama.

Niliisha pendekeza kitambo kuwa hasara za makusudi kabisa ambazo taifa linaingia kwa sabb ya ccm mfano hasara ya kukamata samaki wa magufuli, kuvunja mikataba ya ujenzi wa barabara, kukamatwa bormberdier etc ccm iwe inalipa kwa kukatwa kwenye luzuku yao ya chama sio kuwabebesha mzigo wahuni hao wanafanya yote kwa mikurupuko na maslahi binafsi