Kumbukumbuyatorati
Senior Member
- Jul 27, 2018
- 152
- 222
Unafikiri kila mtu ni tegemezi kwao nyuki weKama sio wa kusoma sana..then baki kwenu ule ugali wa bure!
Ahsantepitia vzuri TCU guide book SUA Udom UD Aru kote unaweza bahatika ukichagua kwa busara
UsinitisheKama sio wa kusoma sana,,, chuo utapata tabuu sanaaa
Unajionesha unapenda sana mteremko wewe..!Unafikiri kila mtu ni tegemezi kwao nyuki we
Jaribu kupekuapekua eligibility kwenye kozi za ardhi ... bora ujaribu ukose kuliko kutojaribu kabisapitia vzuri TCU guide book SUA Udom UD Aru kote unaweza bahatika ukichagua kwa busara