heartbeats
JF-Expert Member
- Feb 10, 2014
- 8,046
- 13,392
Hatari... kwa bongo sidhani kama yapo mapango ya namna hiyo yaani yenye njia nyembamba yaruhusuyo watu kupita humo.Natamani sana kufanya hii kitu kwa adventures tu ata nikifa umo sio mbaya,
Cave tu njia zinazopita chini kwa chini na kuibukia sehem ingineUnataka kupanda clif Au Cave?
Nyingi naona ulaya katika migodi iliyotelekezwaHatari... kwa bongo sidhani kama yapo mapango ya namna hiyo yaani yenye njia nyembamba yaruhusuyo watu kupita humo.
Nataka nikutane nae uko kwani anatatizo kama hujamchokozaKuna mapango ya amboni Tanga. Na shetani anaishi humo
Yeah bongo huku usalama kwanza so hata mkiingia kwenye hayo maeneo lazima awepo mtu Wa kuwaasist na kuhakikisha usalama upo wa kutosha kwenye hayo mapango so wewe ili utimize ndoto yako ufunge safari tu uende huko.Nyingi naona ulaya katika migodi iliyotelekezwa
Epinenda mapangoni tanga ( amboni caves) huko ndani kuna sehem kuna njia mbili moja hua watu hawaipiti moja ndio hutumika sasa wewe pita hapo pasipotumika tuonemrejesho yale ya kutokea mlima kilimanjaro na kenya kama ni kweli
kapite hiyo njia ukitoka mzima tutajua ni kweli ukifa bas tenaYlitokea yapi ambayo yanatakiwa mrejesgi
Epi
Leta jina la movie plsKila la kheri, Kuna movie moja niliona jamaa aliingia humo mapangoni bahati mbaya Jiwe liliporomoka na kuminya Mkono alikaa hapo Kwa siku kadhaa bila msaada alikuwa anaishi Kwa nguvu ya maji mpaka yakaiaha.
Aliamua kuukata Mkono Kwa kutumia kakisu kadogo kama kale kanakopatikana kwenye nails cutter....ndio pona yake