Catch me if you can boy

Dada Kasinde nimesikia vibaya sana niliposoma hapo kwenye nyekundu, sikutaka hata kumalizia kujua hadithi hii inaishia vipi. nimekupm namba yangu ukipenda waweza nitafuta. Duu,i think you need someone to catch you, and i should be the one.

Am happy and enjoying the kind of life am living, you don't have to worry about Kasie, she is enjoying life. I know you can't catch me though.
 

NImekupenda bure.....
 
Hivi kasema mwanaume au mwenye jinsia ya kiume?

Hahahahahaaaaaaaaa babuuuu Asprin missing you loooh

I don't want to bet with u though I love racing.
 
Last edited by a moderator:
Hivi nikikupenda Kasinde kunatatizo??

One of my weakness ni aibu, hapa nshaanza kuona aibu looh. Watu wote wananitazama wewe ukiwa unanipenda mi naona aibu... (talking in a kid tone with fingers on mouth eyesy down)

No prob rafiki, just love me but don't steal me looh.
 
Kama imo.. Nakuja, I know I will catch you, and madly you won't give me a chance to leave yo territory...

All the best but don't be surprised, coz am sure you will be the first to run away from my territory if at all you will manage to catch me.
 
Rival wako alikuwa anaendesha gari aina gani.. Na were Gari yako ni aina gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…