That's why i received heavy warning.... when i tried dancing your songs....
I just opt keeping myself a way far..from you mummy Kasinde ...kasie
Wazee wameni mkwaralize... le'me keep watching and wait Gods mirracle...labda siku moja.....
PJ Marlaw.................
Some people call me ""shemale"".................. am raised in a house full of men and I was the only girl, you can imagine.
Yeaah Definitely
Buh am little bit scared to catch you🙂🙂
Hhahahahahaaaaaaa you have been terrorized looh
But you are my young brother right......??
Kasie, nitulize nitulizee....
Nitulizee nitulizee, nibaki nimetulia....
Nitulizee, nitulizee....
Nitulizee, nitulizee....
Kasie, nitulize nitulizee....
Ona nna ugonjwa, wa moyooo, wa moyooo....
Oh sili silali, wa moyooo, wa moyooo....
Oh Kasie tafadhali, wa moyooo, wa moyooo....
Nipoze hii hali, wa moyooo, wa moyooo....
Age just numbers....
Any thing possible....ha haaa haa. Unaanza kuni terrorize nawewe
Unajua nikiliona jina lako huwa namkumbuka Masai, utasikia Yeerooow Subvai....
Remember you are the one who asked me if at my age I need a lover ...................
And now................ unataka kubemendwa weweee ooohoooooo
Don't forget that you are being watched.............. looh
Still, l'm enough prepared for the battle with old lions of MMU.....
I need to share the same cake, i head that oldies mummy are sweetest...
Morning Ladies and Gentlemen,
Poleni na shughuli za uchaguzi na wale wanaosubiria matokeo haya msubiriue kwa amani, muwe wapole na msiwe wakali kama pilipili.
Kasinde ni mama wa makamo aged 40 plus lakini deep inside Kasie she sees herself like a 30 yrs old lady yaani she feels energetic and young na ndio maana kwa wale wanaonifatilia wamekuwa wakinisoma maneno na matendo niyafanyayo ni kama mdada wa maika 30 na wengine wamediriki kuniambia mambo ya kitoto wakati umri umeenda wakati umri wangu ni above 40 ningekuwa nimetotolesha saa hizi ningekuwa na mjukuu, hivyo kuimri mie ni bibi but deep inside am a single young lady.
Kilichonileta hapa ni moja ya jinsi ninavyojisikia, jana baada ya kutoka nyumba ya ibada nilirudi home kuandaa chakula na kupanga mambo yangu sawa kisha mchana nikatoka kwenda kutimiza haki yangu ya msingi ya kupiga kura. Nikiwa natoka kituo cha kupigia kura naenda mahali nilipokuwa na miadi na mtu fulani, ile naingia main road kwenye makutano ya Ali Hassan Mwinyi road na Bibi Titi road, akatokea kaka mmoja naye alikuwa kwenye usafiri wake akanichomekea kiasi kwamba ningekuwa kwenye speed tungegongana. Nikachukia kwanini anichomekee wakati jana barabara haikuwa na msongamano wa magari, zilipowaka taa za kijani kuturuhusu alinisoma namba nilitoka resi na nikamchomekea kwa mbele akaminya break za gafla halafu mie yuleeee break taa za salender. Ile tunaruhusiwa kutaka kuondoka ndo namuona kwa mbaali anakuja nikaondoka speed mataa ya st peter nikamuona anakuja faster akakanyaga wese hadi engine inaunguruma anipite haaaa!! nani akubali, nikakanyaga wesee mootooooo hahahahaaa aliisoma namba kama ule wimbo wa CCM hahahahaaa rahaje.
Yaani mnaweza sema nina tabia flani za kiume ila nilifurahi kumpita na hakunifikia hadi nafika mwenge hadi nafika tegeta sijamuona sijui hata aliishia wapi. Kiufupi kwa wataoboreka na tabia za Kasie kuwa kama za kiume, si kosa langu ni makuzi niliyokulia. (natoa habari ambazo sijawahi zisema hapa)
Kasinde ni mtoto wa pekee wa kike, baba yangu mzazi alikuwa anatafuta mtoto wa kike na mie ni wa 5 kuzaliwa na chini nina wadogo zangu 2 wa kiume. Baba yangu alinipenda sana sana alinipa kila alichoweza niwe binti mzuri, bad luck sikuwa kama alivotarajia. Maana kaka zangu na wadogo zangu ndo wamenifanya niwe na mfumo dume kuanzia michezo ninayocheza ni michezo ya kiume, mtazamo wa kifikra, kwenda disco, ubishi kama vile ubishi wa ligi, kupenda magari, mbinu zote na ujanja wa kiume naujua. Na kaka zangu walinifundisha kutokukubali kuonewa na kushindwa. Sasa huyu kijana aliyenichomekea na kuanzisha ligi ya race barabarani aliisoma plate namba maana sikukubali nilitoka speed na nilikuwa na over take fyuu fyuu fyuu. Halafu najisikia rahaa bin happy nilipofikanilikokuwa naenda nikanywa glass ya maji bariidiii.
Kasie says boys, catch me if you can while I know you can't. Bet me if you insist.
Kasinde.
Basi sawa. Nashukuru kwa kunipiga kibuti hadharani. Ubarikiwe kupita maelezo mpaka ushangae.Noop, nah tenkyuu!!
Basi sawa. Nashukuru kwa kunipiga kibuti hadharani. Ubarikiwe kupita maelezo mpaka ushangae.
Hhahaahhaaaaa hizi lawama zingine, kumbe nilitakiwa kusema ndio lakini ikimaanisha hapana.............
Mie bibi kizee sio kama mabinti wanazunguka zunguka kwanza akwambie twende ukanipe lunch mara mkimaliza kula akwambie nimeitwa home fasta will call u later anakuacha unabung'aa kesho yake akwambie umtoe out halafu ndo akwambie not my type aaah mie sinaga hizo if it is YES YES if NO NO...........
Sorry if I offend you in this republican of JF it was not my intention it happens in the process of answering your request.
Stay well!!
Hhahahahahaaaa..................... then you are not
The dude isn't scared, he just flow everywhere freaking in the morning freaking in the evening.............
I got a little freakiness inside
And you know that the man (the Legend himself........ the dude)
Has got to deal with it
I don't care what they say
I'm not about to pay nobody's way
'Cause it's all about the dog in me
I want to freak in the morning
A freak in the evening just like me
I need a roughneck brother (The Legend himself)
That can satisfy me just for me
I got a freaky secret,everybody sing
'cause we don't give a damn about a thing ............... me and my dude......
Hahahahahahaha......not the way you seee....
Being a mediocre driver has never being my ambition...
When I was young I wanted so badly to be a best race horse like Charlie the horse
......but now I only wanna catch your thout....catch you as my fish
Scared people are weird ................. did'nt say that you are...... those who findout are winnersSo kinda scared to figure out if Kasinde is an ocen fish or flying fish
Hahahah fishing is really boring unless you catch an actual fish
Good boy! A lot more out there hope you'll catch one.