Kwa wanafunzi wote kuanzia kidato cha 5,6 hadi chuo kikuu na wasio wanafunzi ilimradi matumizi ya calculator yanakuhusu.
Moja kati ya changamoto zinazo tukabili ni calculator fake.
Kwa wale wenye kujali na wana hitaji calculator ORIGINAL, zina patikana.
Kama una ishi dar es salaam ni rahisi kuipata ila nirahisi zaidi kwa wale wanao ishi maeneo ya CHANGANYIKENI MWISHO.
Wale wanao soma University of Dar es salaam nadhani wana pajua, b.coz njia ya kwenda changanyikeni ina katisha ndani ya eneo la chuo (UDSM). Ukifika changanyikeni mwisho kuna fremu utaziona upande wa kulia kama umetokea UDSM au ulizia stationery mpya.
BEI NI TSH 35000/=
Kwa maelezo zaidi ni PM
Samahani kwa uandishi mbovu