Cashier Wanted

Cashier Wanted

H.S

Member
Joined
Feb 23, 2013
Posts
66
Reaction score
29
Looking for a cashier.

Must have book-keeping/ accounting background and at least A level Accounting knowledge.

Candidate will have to provide strong referee.

Please PM me if interested and submit your resume via PM.
 
Kuna mdogo wangu kamaliza chuo saiv lakini amesoma bookeeping olevel sio advance nayeye anaweza kutuma..alaf unsposema pm unamaanisha nini?
 
Kuna mdogo wangu kamaliza chuo saiv lakini amesoma bookeeping olevel sio advance nayeye anaweza kutuma..alaf unsposema pm unamaanisha nini?

pm=private message nenda kwa profile yake utakutana nayo kisha mtext! I think utakuwa umeelewa now!
 
Naomba profile ya employing firm/company tafadhal
 
Waajiri wa kizazi kipya mnapendaga sana dogo dogo centre aka Serengeti galz and boys. Umri ni kigezo au sio kigezo mkuu?
 
da kazi full udigital yaani baasi bwana we m PM tu
 
hahaha hiyo ndo imetoka aseee hata mie nilifanya hivyo but sikujibiwa mpaka leo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom