wakenya bwana wanachekesha sana wanadhani hiyo fensi ndiyo itazuia al shabab kweli nakumbuka game ya Hitman nilivyo kuwa nawatungua maaskari kwanao zunguka kulinda fensiIle KDF walkway katikati itabadiika kuwa shooting range ya al shaabab very soon as can only accommodate a KDF solder on foot or on a bicycle. To me it is a booby trap of sort for a soldier on patrol n I wish best of lucky for whoever to be stationed there.