CAS, universty's approval mtasubiri sana

CAS, universty's approval mtasubiri sana

Iddimarisa

Member
Joined
Jul 12, 2013
Posts
29
Reaction score
4
We ingia website za vyuo ulivyo apply cheki majina ya batch zilizokuwa yet released kama upo then u r qualified alrdy... dats ur approval subir tu admission .......kusubiri CAS mtakeshaa ku browse umoo...
 
Ukiingia CAS kuangalia approval ni kupoteza muda na kujiongezea stress cha msingi angalia jina lako kwa chuo ulichopangiwa.
 
Ukiingia CAS kuangalia approval ni kupoteza muda na kujiongezea stress cha msingi angalia jina lako kwa chuo ulichopangiwa.

sasa mfano UDOM wao hata hawajaweka majina tena zaidi ya wale wa kwanza?? hadi leo.
 
We ingia website za vyuo ulivyo apply cheki majina ya batch zilizokuwa yet released kama upo then u r qualified alrdy... dats ur approval subir tu admission .......kusubiri CAS mtakeshaa ku browse umoo...

Kama ingekua rahisi hivyo,msingefungua a/c huko CAS.
 
Na vip je..... Kma chuo kikikutumia admission letter kweny e mail yako c n teyari ushachguliwa
 
niliwapigia Jana udom wanadai soon watatoa ila wanajibu kibabe mnoo as if walikulipia ada ya admission,Tanzania hii we acha tu.
Bodi nako nasikia wengi sana watakosa Mikopo so ili kutuliza hasira za watu kwny box la kura watatangaza Mikopo baada ya uchaguzi,hapo ndipo mtoto wa Mkulima utakapolia na kusaga meno.
 
Back
Top Bottom