Mkuu, naunga mkono hoja. ingawa wataalam wanasema kuwa satire, or cartoon za mafumbo huwa na maana nyingi kadiri ya mtu awezavyo kutofasiri. Thanks bro for the insightHiyo ya kwanza yaweza kuhusiana na mswada mpya
Hizo katuni hazina uhusiano wowote na Tanzania naona umeamua kupotosha kwa kuamua kuweka hisia zako na Hatima ya Tanzania.
Unatafuta attention kwa katuni, kumbuka Gangwe Mob na staili yao ya Rap Katuni hawawezi kutoboa hata wakitafuta Kiki za kila namna. The same applies to your thread...it's all about KIKISM & CRITICISM.
Hiyo ya kwanza yaweza kuhusiana na mswada mpya
Hiyo ya kwanza yaweza kuhusiana na mswada mpya