Mkuu udalali kazi kweli.
Maana jamaa amekkurupuka tu hata Magari aina zake hazijui.
Somtimes udalali unakuwa kama vile kazi ya laana vile.
Maana kwe Bei ni balaa,na ukutane nao kwenye kazi zao ujanja mwingiiiiii
S.I bei hiyo?