Habari za leo waungwana? Nauza gari hii. Ni Carina AT 190 Manual. Gari inatembea vizuri kabisa na mimi ndiye mmiliki. Ina CC 1590, vibali vyote vipo. Inapatikana Busega (Nyashimo) Simiyu. Kilomita 30 kutoka Magu barabara ya Mwanza - Musoma. Bei ni 3,300,000. Punguzo lipo. Piga 0623304519 tuzungumze.