Car wash service

bigjeff

Senior Member
Joined
Oct 25, 2009
Posts
111
Reaction score
22
Wakuu habari zenu na poleni na miangaiko,Happy new year,wadau natafuta sehemu ya kukodisha kwa ajili ya Car wash na tyre fitting,naangaika mwezi wa pili sasa,na pia kuna sehemu zingine rent ni za kustua kusema kweli ,mtu mwenye sehemu au anamjua mtu mwenye sehemu asisite kuwasiliana na mimi contact ni ..0754759219,0713058290 asanteeni...La kumalizia tunatoa pia huduma za Mobile car wash,carpet clean,driveway clean all areas karibu na kijitonyama,tupigie mda wowote tuko tayari kwa kutoa huduma nzuri na bei nafuu,tunakufuata popote ulipo,asante,mungu awabariki kwa shughuli za kila siku.​
 

Attachments

  • WP_20131104_003[1].jpg
    320 KB · Views: 185
thanks. umenifundisha kitu..
 
ur welcome kaka..tushare kidogo basi mawazo
 

Bei ambayo si ya "kustua" kwako wewe ni shillingi ngapi, uko mkoa gani na unataka eneo la ukubwa gani mitaa gani?
 
Bei ambayo si ya "kustua" kwako wewe ni shillingi ngapi, uko mkoa gani na unataka eneo la ukubwa gani mitaa gani?
Kaka mi nipo Dare salaam...eneo inategemea maana nipate nafasi ya kutosha kidogo ya kuweza kunyenga ofisi ndogo ya reception na sehemu ya kuosha na kubadilisha matairi ambayo yanaweza kuingia magari manne kwa mkupo vipimo sina kwa kweli..na eneo lolote ambalo lina ubize wa magari.nadhani umenielewa mkuu kama una sehemu usisite kunipigia please au naomba namba yako,asante
 

So utaweka popote utakapopata nafasi hata kama ni kigilagila?
 
Uko ready na watoto wa mumbwa
 
So utaweka popote utakapopata nafasi hata kama ni kigilagila?
kaka cha msingi ni ubize wa sehemu yenyewe nikiimaanisha uwingi wa magari kwahiyo kama hiyo sehemu ina trafic ya kutosha niko tayari,thanks
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…