Car Wash gari langu chafu sana!

salari

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2013
Posts
3,939
Reaction score
6,847
Habari wakuu,

gari langu limeingia grease na oil kwenye seat, na sehemu nyingi za ndani naomba kwa anayejua car wash ambayo wanasafisha ndani vizur aniambie!

Salar
 
Nenda dalass cleaner ipo maeneo ya kigamboni maeneo ya scaba scuba
 
Car wash kiukwel inategemea na eneo unaloishi maana zipo nyingi sidhan kama unaweza toka gongo la mboto ukaenda tegeta kuosha gari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…