Kaitaba JF-Expert Member Joined Jun 30, 2009 Posts 915 Reaction score 54 Oct 22, 2013 #1 Natafuta lock ya staring au ya gear level ya automatic car.
M MahinaVeterani JF-Expert Member Joined Aug 8, 2013 Posts 710 Reaction score 257 Oct 23, 2013 #2 Staring = Stearing = Usukani? Kama uko Mwanza jaribu kwa Wahindi wa Makufuli hapo Mtaa wa Rwegasore. Kwa vile hujataja hiyo "lock ya staring" subiri Wadau wengine wa maeneo mbalimbali wakujuze upatikanaji wake huko waliko.
Staring = Stearing = Usukani? Kama uko Mwanza jaribu kwa Wahindi wa Makufuli hapo Mtaa wa Rwegasore. Kwa vile hujataja hiyo "lock ya staring" subiri Wadau wengine wa maeneo mbalimbali wakujuze upatikanaji wake huko waliko.