Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 31,139
- 88,800
Wakuu.
Hii ni topic fupi sana leo. Tuna discuss matairi, wheels na breki.
TIRES:
Muda wa Kubadilisha kwa kawaida ni miaka 3–5 au kuanzia 50,000 hadi 70,000 km, kulingana na matumizi.
Pia, angalia tread wear indicator (alama ndogo ndani ya mpasuko wa treads) ikifika sawa na surface ya tairi, muda umeisha.
Dalili za Tairi iliochakaa:
• Gari linayumba au lina vibrate ukivuka 80 km/h
• Tread zimeisha upande mmoja alignment au pressure mbaya
• Cracks au mipasuko pembeni (sidewall cracks)
• Hewa hupotea haraka bila puncture.
Bei na Brands zinazopatikana Tanzania:
• Dunlop, Bridgestone, Yokohama, Maxxis, Michelin, Continental, Linglong, Apollo, Sailun.
• Bei: 150,000 – 450,000 Tsh kwa tairi moja (kutegemea size na brand)
Tips Muhimu:
• Angalia pressure kila wiki (28–35 psi) kulingana na gari lako.
• Fanya tire rotation kila 10,000 km ili yasichakaa upande mmoja.
• Angalia tarehe ya kutengenezwa (DOT code) — tairi za zaidi ya miaka 6 hazifai hata kama hazijatumika sana.
• Usichanganye tairi za aina tofauti kwenye axle moja.
WHEELS (MAGURUDUMU, ALIGNMENT & BALANCING)
Wheels si matairi, ni rims na mfumo unaounganisha tairi na axle.
Alignment na balancing zinahakikisha tairi zinagusa barabara kwa usahihi bila kuvuta upande.
Dalili za Tatizo
• Gari linavuta kushoto au kulia ukiendesha.
• Steering inatingishika (hasa speed ikizidi 80 km/h)
• Tairi kuchakaa upande mmoja
• Sauti au vibration isiyo ya kawaida.
Interval Sahihi:
• Wheel balancing: kila 10,000 km au kila ukibadilisha tairi.
• Wheel alignment: kila 6 miezi – 1 mwaka, au ukiona tairi zinachakaa vibaya.
Gharama za Service:
• Balancing: 3,000 – 5,000 Tsh kwa tairi.
• Alignment: 25,000 – 40,000 Tsh.
• Rotation + balancing: 20,000 – 30,000 Tsh seti nzima.
Tips
• Angalia bolts ziwe zimekazwa vizuri (torque sahihi)
• Ukiona rim imepinda, irekebishwe haraka, inaharibu bearing.
• Usisahau kuangalia spare tire pressure mara moja kwa mwezi.
BRAKE PADS
Brake pads hushika disc (rotor) ili kupunguza mwendo wa gari kwa friction.
Ni sehemu ya “consumable” inachakaa kadri unavyotumia breki.
Muda wa Kubadilisha
• Kawaida: 20,000 – 50,000 km, kutegemea jinsi unavyoendesha.
• Ukibeba mizigo au kuendesha mjini sana, zinachakaa mapema zaidi.
Dalili za Brake Pads Kuchakaa
• Sauti ya flani au vibration ukikanyaga breki ghafla
• Gari linaanza kusogea kidogo hata baada ya kubonyeza breki
• Pedal ya breki inakuwa laini sana au inazama sana
• Harufu ya joto au moshi mdogo karibu na magurudumu.
Bei za Brake Pads (TZ Market)
• Toyota, Nissan, Suzuki, Mazda small cars: 50k – 120k Tsh set (front)
• SUVs (RAV4, CR-V, Harrier, Forester): 120k – 200k Tsh
• Luxury (BMW, Benz, Prado): 200k – 350k Tsh
Brands zinazopatikana:
Advics, Bendix, Nisshinbo, Bosch, Akebono, Brembo, Aisin
Tips Wakati wa Kubadilisha
• Badilisha zote mbili za mbele au nyuma kwa pamoja (set)
• Usitumie pads za bei ya chini sana, zinachoma disc haraka
• Baada ya kubadilisha, fanya “brake bleeding” kama mfumo umeingia hewa
• Angalia pia hali ya brake discs (zisiwe na grooves au kupinda)
Kwa leo tuishie hapa.