Usiuze mkoko huo mzee. Labda kama unataka ununue kitu kikali zaidi e g. Anaconda au CX 5.Nauza gari yangu toyota Ist mwaka wa mbele ,Gari Ac haifanyi kazi na imewai kupigwa rangi baadhi ya sehemu interior excellent,android radio,back camera sports rim , tairi bado nzima sana
gari inapatikana kitunda na sinza (inatembea) Imeanziwa million kumi na sita (16,000,000) Maongezi yapo karibu sana
waweza nipigia kwa number 0759117175,0787757175
me ndo mmiliki.
Nauza gari yangu toyota Ist mwaka wa mbele ,Gari Ac haifanyi kazi na imewai kupigwa rangi baadhi ya sehemu interior excellent,android radio,back camera sports rim , tairi bado nzima sana
gari inapatikana kitunda na sinza (inatembea) Imeanziwa million kumi na sita (16,000,000) Maongezi yapo karibu sana
waweza nipigia kwa number 0759117175,0787757175
me ndo mmiliki.
Hivi vigari sielewagi napomuona mtu mzima anaviendesha, vimekaa kitoto sana
Ya juu juu kama ndege, nina panda gari situmbukii kwenye gariWacha wee wewe unayo ya aje
Hivi kwanini sasa hivi vibunju vina bei mpaka vya second hand?
Si utengeneze kwanza AC kaka?
Usiuze mkoko huo mzee. Labda kama unataka ununue kitu kikali zaidi e g. Anaconda au CX 5.
Kama umefulia na hata pesa ya wese ni shida, niuzie kwa 8m
Kumbe?Production ime die
Chukua ushauri mkuu, tengeneza kwanza AC. tatizo dogo usipolitatua linaweza kufanya ukakosa mteja.Nauza kama ilivyo
Nauza kama ilivyo
Dogo yuko vizuri ana fortuner kali toleo la 2025 na Landcruiser GR sport ya 2026.Wacha wee wewe unayo ya aje