Guantanamo Sobibor
JF-Expert Member
- Aug 20, 2017
- 897
- 1,133
25 millionsbei?
ManualMbona bei juu sana?
Ni manual au auto?
Hii siyo ile nissan iliyofanya tukio, mission imeisha mnauza?
[emoji1] [emoji1] [emoji1] watu mna maneno!!Hii siyo ile nissan iliyofanya tukio, mission imeisha mnauza?
wakati mwengine mzaha unaweza kukuponza kuwa makini na chochote unachosema katika mitandao unaweza kuitwa ukaisaide polisi sasa sijui unaelewa huo msamiati "kuisaidia polisi"Hii siyo ile nissan iliyofanya tukio, mission imeisha mnauza?
umeshuka sana mkuu hiyo bei haina maslahi kwangu