Wajapan wangekuwa na matangazo kama haya no price, no pictures, mahali ulipo n.k jiulize ingekuwaje? Africa tunakalia kulia na kulaumu wazungu kuwa wametufanya masikini, kumbe you are the source oh God forgive us africans tusikulaumu ee Baba, tusamehe dhambi ya uzembe wa kutotaka kujifunza kutoka kwa waliofanikiwa!