Spea zinapatikana siku hizi coz magari haya yamekuwa mengi mnoooo hapa mjini. bei hazijatofautiana sana na toyota na ziko sawa na swift. Kama ulivyosema mafuta haili sana; nimekuwa nikitumia mafuta ya 5,000/= kutoka mbezi(kimara)-mwenge na KURUDI MBEZI.upatikanaji wa spea za gari hii ukoje mkuu na gharama zake kwa ujumla zikoje?,najua kwa cc za gari hii itakuwa inakula vizuri mafuta,vp hayo mengine niliyokuuliza mkuu?,kila la kheri,gari ipo bomba sana